Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,109
- 16,681
kuna demu juzi nimemuomba namba zake, akanambia nipe zako bila hiyana kidume nikatoa namba zangu, alisema akifika nyumbani kwao atanipigia, sasa nahisi kapotea kwa sababu hajanipigia mpaka leo, siku 3 zimepita tayari
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]