Mademu acheni hizo banah!

Mademu acheni hizo banah!

ddsmchau1712

Member
Joined
May 13, 2011
Posts
37
Reaction score
9
Inashangaza sana wadau, najua wengi watakuwa wameshakutana na vimeo vya aina hii. Demu unakutana naye some where, barabarani, vyuoni, au sehemu yoyote... may be kwenye bus unatoka zako Dar kwenda Moro.... mmekaa siti moja, story hakuna...lakini mnapofika kibaha maili moja kwa kuwa ww umekaa dirishani anakuomba umsaidie kuchukua maji aliyonunua kwa nje, kuanzia hapo story za hapa na pale zinaanza. Mnapokaribia picha ya ndege tayari kameshachukua simu yako kamejibeep na kameshasave namba.

Safari inaendelea. Mnakaribia mlandizi unapiga naye story na katikati ya story unaongea neno la kuchekusha unasikia kanacheka "ehehehehee jamani DEAR umenifurahisha!"... unatake ize tu maana si unajua watoto wa english medium dear sio ishu, unapotezea. Mnapokuwa mnaiacha ruvu utasikia kanakwambia "dear nimebanwa na mkojo sijui dereva atasimama wapi....?"... kanakulalia begani huku kakitoa miguno ya maumivu ya mkojo kumbana utadhani kamedidimiziwa sindano!!... mzee unauchuna tu, kuondoa kero unamwita konda na ombi linakubaliwa gari inasimama kanaenda kukojoa na safari inaendelea. Mnafika mikese kademu kanashuka kakifika chini kanatuma msg "nitakumiss sana my love!"... eeeh unashtuka...nshakuwa love tena!!?.... sasa inakera inapofika jioni umejipumzika zako hotel au home, unaona beeping yake, unaamua kumtumia msg "mambo vipi!?"... dooooh sikia jibu sasa, "baby naomba unirushie elfu hamsini kesho nimealikwa harusi nataka kwenda salon!"

Hivi unajua baada ya hii msg yake unaweza tamani kupasua simu yako.... how come wewe tumekutana hata masaa 12 hayajapita tayari nishakuwa love mara elfu hamsini!!!? Sawa 50 sio ishu mtu anaweza sema lakini jamani madada ili iweje!!? ... wewe hata hujatongozwa tayari mara honey, mara love.... please stop that bana!... acheni huo mpango, hatuna miti ya hela sisi, kila ukiomba tuwe tunatingisha jamani!!!! Kuweni na akili timamu bana si kila mtu wa kumfanyia mazoea hayo, ndio maana wengine mnasokomezewa miwa, mara mbwa anapewa kazi....ndio hivyo si mnatamaa sana!!!. ACHENI HIZO!!
 
ishu sio 50 wapi mkuu ishu ndo hiyo

infact sio vyema ku,zoea mtu lyk that
 
Du nimechekajeee, alafu mkifika stendi utasikia unafikia wapi nije nkutembeleeee ha ha ha ha.
 
Tuma hela kijana ukagegede kirahisi
 
mi nilikutana na kimeo flani hivi kinasoma chuo ....maisha yake maigizo matupu!!!!
 
Hahahaaaaaaaa. .....mm ningemwambia hta laki ntatuma anipe nyuma tu.khaah!
Hyo changu wla hamna ubishi kanyaga uone.
 
nilishakutana na vimeo viwili nyakati tofauti mara ya kwanza naenda arusha kilipanda korogwe hata same hakijafika akamaliza pozi zote ila akutobua niliperuzi,wa pili dar to dom tulivyo shuka akawa milki yangu ya mda dah izi loseball napenda sana.
 
Mpira uliokufa ni kutenga na kupiga kuelekea golini
 
mkuu nilishatokaga arusha naenda mahala nkakutana na mtoto mzuri kwenye basi, tumekaa siti moja zaidi ya kilometre 150 bila hata salamu, ila nikawa najiuliza uyu hata asiponisalimia mm ntampa hi tu...tukafika sehemu akajisemesha saa ngapi wakati na yeye ana simu, kijana fasta nikamtajia muda, dah kaanza kujisemesha hatufiki tu! stori zikaanza, anashuka tu kaacha namba ya simu,jioni naulizwa umefika salama, nikajibu salama, then nikaambiwa nageuza kesho ww lini! nikajibu mm next week, then nikaambiwa basi ntapita apo stend utakuwepo? mzee nilikuwa na ndinga uko nimeichaga kwa muda nikaiweka sawa next day niko stend, then hotelini kwetu....sikuamini kama siku iyo kalikuja kakiwa TAYARI TAYARI...baadae nauliza unafanya kazi gani...eti fomu4 daaah kumbe nanunua ugomvi na JK ivi viiii!!!fasta nkakimbiza stendi...tangu apo ni simu tu za salamu na vizinga vidogo vidogo...Dah umenikumbusha mbali mwanamwane!!! Ivi vitu usombe kukutana navyo!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom