sikuhizi tunalamba ice cream , wine , vyakula tunalambalamba, na sijui vitu vya shake milk ,.. sijui shake what what.. sasa sangapi tutalamba vidole wakati vya kulamba vipo.......... labda muanze kututongozea vichakani
labda maeneo hayo lakini ukisha weka miadi sijui tukutane sijui kitu gani garden jua tu utatolewa macho na bill ikifuiata nyuma matataN a tukiwatongoza mkiwa mmeegemea ukuta?😛😛
labda maeneo hayo lakini ukisha weka miadi sijui tukutane sijui kitu gani garden jua tu utatolewa macho na bill ikifuiata nyuma matata
ha ha haha tena na nanuli unatoahehehe,,,umenikumbusha kitu hapo...wakati wa bili sasa atakuwa bize na whatsapp...dakika hiyo atapost hata katika lile group ambalo ameliMUTE kabisa
ha haha suluhu upate pesa hao mademu wa 1999 hawapona ukimpa na nauli,anakuambia baby hii ni ya daladala nipe ya boda boda ili inidrop getini!!! teh teh
sikuhizi tunalamba ice cream , wine , vyakula tunalambalamba, na sijui vitu vya shake milk ,.. sijui shake what what.. sasa sangapi tutalamba vidole wakati vya kulamba vipo.......... labda muanze kututongozea vichakani
Kuna demu nilikutana nae kaniambia nimpe hela sim yake imekufa notifications hazisomi nilikosa pozi ka kumjibuNowadays hata kabla hujatongoza utaombwa matumizi ya kutengeneza simu it means kama uko mbali ukirudi utapewa tu utakalo