Made in Tanga

Made in Tanga

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
994
Reaction score
703
Hizi mbaazi za nazi ni made in Tanga na wanasema wao ndio wenye hatimiliki ya pishi hili. Kwenu kuna pishi gani special.
maxresdefault-6.jpg
photo-2.jpg
maxresdefault-5.jpg
photo-1.jpg
photo.jpg
 
Hizi mbaazi za nazi ni made in Tanga na wanasema wao ndio wenye hatimiliki ya pishi hili. Kwenu kuna pishi gani special.View attachment 2047255View attachment 2047256View attachment 2047257View attachment 2047259View attachment 2047260
Ukipata mke anaekupikia kama hivi, kila ukitaka kuchepuka unahisi kama anakuona! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Msukuma anakula kama matunda hayo,ujiandae kusonga ugali mkubwa LA sivyo na utanga wako unakula talaka 3 na kichapo juu
 
Back
Top Bottom