Madawa ya kulevya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madawa ya kulevya

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Don Calvino, Apr 26, 2012.

 1. D

  Don Calvino Senior Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuhalalisha matumizi ya madawa ya kulevya duniani je itafanya bei ya kununua ishuke kisha wauzaji wakubwa kukata tamaa na biashara hiyo? Ndio mikakati moja yapo ya Obama na nchi zingine pamoja na Marekani Kusini...
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  @don Calvino chanzo cha hii habari kiko wapi?
   
 3. D

  Don Calvino Senior Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama wiki mbili zimepita raisi Obama alikuwa South America kwa kikao na wakuu wa baadhi ya nchi hizo..
   
 4. D

  Don Calvino Senior Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama wiki mbili zimepita raisi Obama alikuwa South America kwa kikao na wakuu wa baadhi ya nchi hizo,moja ya topic ilikuwa hiyo,niliona c.n.n.
   
 5. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Of course yakihalaloshwa bei yake itashuka na umafia wa dealers ndio utakuwa umefikia mwisho.
   
Loading...