Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

unga anaotumia chid benz anaupata wapi
 
Sembe bado lipo mtaani la kutosha ..sembe lina hela ambayo ni tamu ndomana kuwakamata wahusika wakuu(madon) ni kazi sababu muuza sembe kutoa hela huwa hajiulizi mara mbili kikubwa tu usalama wa mzigo wake kama mtu anakupa hela ambayo hata uue uko wako wote huwezi ipata atashindwaje kupokea.
 
hahaaaa..jii vita ni ya aina yake..

vile vipipi wanavyokmata kwanini wasivimwagie petrol hadharani tuone..
vinaendaga wapi?
 
na kwa hali hii unadhani hii biashara itakoma?
labda miaka 1000 ijayo
 
unaposoma shirikisha ubongo wako..nimeaema ukiwaexpose wanaku......
niwataje sijipendi?

nna majima na hata nkiwataja haitomake sense bila evidence...
na wao sio watu kusogelewa kirahisi katika mambo yao licha ya kuwa social best kuficha maovu yao
na ili kupata evidence must uwe mtu wa karibu au ndani ya syatem na uongozi wa seriikali..
now wat am gonna do?
keep my nose out of their business

i was just warning u...and all tznians out there..bashite is playing with your mind..
dont be fooled with his dramas..
 
The fact that you can't even mention their names, then you have no moral authority of jeopardizing a small steps that have been taken. Why calumniate the effort made?

You are saying you can't get the evidence but still you believe they are big dealers. How do you know that?
Why don't you join the initiatives done to stop the business lather than sitting aside and blaming them. You can advise them the best way to use, the people you suspect, the methods and tricks they are using etc.

Otherwise keep quiet let those with guts of doing something do it. Don't slow them down for your cowardliness.
 
okay baba..i need no argument
imekuuna kwelikwwli
one day e will expose em
umepanic sana.
ndo biashara yako nini nakuharibia?
 
okay baba..i need no argument
imekuuna kwelikwwli
one day e will expose em
umepanic sana.
ndo biashara yako nini nakuharibia?
Huwezi kupinga jitihada bila kuonesha njia. That's insane.

Kuwataja kwenyewe unawaogopa licha ya kutumia fake ID, wapi wanapatikana, mienendo yao njia wanazotumia vyote umeshindwa kuvitaja lakini bado unataka tukuamini kwamba mapapa hawajaguswa. Utakuwa mtu wa ajabu kweli.

Ushauri wangu boresha uzi wako, weka details za kutosha ulizonazo ili hata anayesoma aone kuwa kweli kuna watu ambao zoezi hili linawakwepa licha ya wao kufanya/kuhusika na hayo utakayoeleza.

Binafsi sihusiki na biashara hiyo kwa ulivyouliza mwishini. Ila kama mtanzania mwenye mapenzi mema kwa nchi yangu na watu wake, nimesikitishwa na malalamiko yako ambayo umeshindwa kuyawekea ushahidi na hivyo kubaki kuwa tuhuma zisizo na mashiko. Nategemea kuona update ya uzi wako.
 
Nilisikia wakisema hakuna jiwe litakalobakia juu ya jiwe lingine... was a fake news kumbe... Trump husema Wrong huku mdomo ukija na alama ya ''o''hiyo vita was so funny like el lute wa Boney M

 
Nilisikia wakisema hakuna jiwe litakalobakia juu ya jiwe lingine... was a fake news kumbe... Trump husema Wrong huku mdomo ukija na alama ya ''o''hiyo vita was so funny
funmy indeed.
now yupo kwenye misaada
madawa anadhan tumesahau
 
Kinachoo shangaza zaid hii vitaa ya madawa ya kulevya haionekanagii mwisho wakee inazungukaa tyuu watuu wanakamatwa mwisho wa Siku holaa kweli wanacheza na akilii zetu
 
Hata America hawajaweza kumaliza kabisa ila umepungua sana, Ndio maana hata mapapaa wa kurusha dola kwenye benzi na birthday wamepotea
waliotishwa kwa idadi kubwa ni wauzaji wa kati..hao ndo walikuqa wanafanya anasa za kurusha pesa..ila ma don wapo
tatizo mzunguko wa pesa hauko vizuri kana enzi za jk..maelfu hawana kazi..wanunuzi wamepungua na biashara imepoa.
 
Kama kichwa kinavyosema,

Au waliokutwa na hatia kama wapo maana vita ilikuwa kubwa sana halafu sasa naona kimya waliokwenda gerezani wapo jamani au waliokutwa na hatia?

Yule kamishna wa kupambana na madawa ya kulevya sijui yuko wapi.

Mbona kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…