Madawa ya Kulevya: Mnigeria mwingine anaswa na madawa JNIA na Maofisa wa Uhamiaji

FikraPevu

JF-Expert Member
Jan 2, 2010
304
236
Raia wa Nigeria Anthony Igeanyichukwu Okafor amekamatwa Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere baada ya kushukiwa na kufanyiwa uchunguzi, wa Maafisa Uhamiaji, akijaribu kuingia nchini akiwa amemeza madawa ya kulevya. Uchunguzi unaendelea.

Aliwasili nchini akitumia ndege ya shirika la ndege la Ethiopia alfajiri ya leo tarehe 07/06/2014

Kwa habari zaidi chanzo: http://www.fikrapevu.com/jnia-nabs-...ukwu-okafor-making-it-two-nigerians-in-a-row/
 
Raia wa nigeria, anthony igeanyichukwu okafor, amekamatwa uwanja wa ndege wa julius nyerere, akiwa amemeza dawa za kulevya. Aliingia nchini kwa ndege ya ethiopian airline jana. Anaendelea kutoa hizo dawa. Hii ni kazi nzuri ya maofisa uhamiaji.

chanzo: Uhamiaji makao makuu.
 
Tatizo ni kwamba wanaokamatwa ni madagaa na wale akina Idd Wakiachwa wakiendelea kusinzia bungeni. Anyway asante kwa taharifa mwandishi Manyerere Jackton
 
Last edited by a moderator:
Duh! Hao wanaoyapekua hayo mavi wana kazi! Halafu, hivi akiwa anazinya hizo dawa kunakuwepo na watu wamemsimamia? Yaani wanakuwa wanamwangalia...

Kheri niendelee kupiga boksi tu maana linalipa kimtindo!
 
Unaogopa jamaa watapekua mavi yako?! Teh teh!!
Duh! Hao wanaoyapekua hayo mavi wana kazi! Halafu, hivi akiwa anazinya hizo dawa kunakuwepo na watu wamemsimamia? Yaani wanakuwa wanamwangalia...

Kheri niendelee kupiga boksi tu maana linalipa kimtindo!
 
Raia wa nigeria, anthony igeanyichukwu okafor, amekamatwa uwanja wa ndege wa julius nyerere, akiwa amemeza dawa za kulevya. Aliingia nchini kwa ndege ya ethiopian airline jana. Anaendelea kutoa hizo dawa. Hii ni kazi nzuri ya maofisa uhamiaji.

chanzo: Uhamiaji makao makuu.

Tumekuwa tukijulishwa watu wanao kamatwa,ila baada ya hapo tunabakia gizani bila kujua Kama walepelekwa mahakamani au la,Hadi Leo hatujui ile issue ya wachina wa meno ya tembo waliokamatwa na Kagasheki imeishia wapi
 
Duh! Hao wanaoyapekua hayo mavi wana kazi! Halafu, hivi akiwa anazinya hizo dawa kunakuwepo na watu wamemsimamia? Yaani wanakuwa wanamwangalia...

Kheri niendelee kupiga boksi tu maana linalipa kimtindo!
Zinaingilia mlango wa nyuma, ni balaa dume zima wanaliingizia madawa mlango wa nyuma
 
Back
Top Bottom