bategereza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 3,314
- 1,059
Nimepita pale JNIA Dar mara nyingi kwa safari za ndani na nje. kwenda na kurudi na hata hhuko nje kama JKIA . Entebbe. Dubai.etc. Mbona sijawahi kuchekiwa kama nimebeba madawa ya kulevya ? hao wanaokamatwa nayo wanapitia njia ipi torfauti ? Sio kwamba mie nasafirisha huu ujinga la hasha. lakini najiuliza wanaocheki mbona sijawahi kuwaona. Au wanaingia kazini kwa kustukiza ?