Madawa ya kulevya JNIA

bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,322
0
Nimepita pale JNIA Dar mara nyingi kwa safari za ndani na nje. kwenda na kurudi na hata hhuko nje kama JKIA . Entebbe. Dubai.etc. Mbona sijawahi kuchekiwa kama nimebeba madawa ya kulevya ? hao wanaokamatwa nayo wanapitia njia ipi torfauti ? Sio kwamba mie nasafirisha huu ujinga la hasha. lakini najiuliza wanaocheki mbona sijawahi kuwaona. Au wanaingia kazini kwa kustukiza ?
 
Kidogo chetu

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,428
2,000
hili swali name najiuliza sipati jibu isije kuwa sanaa ya nzowa
kwa zaidia miaka 4 sijawhi kuwa inspected thoroughly!!!!!!
 
muhomakilo jr

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
11,180
2,000
Polisi wa madawa wanakuwa na taarifa ya muhusika kabla huyo mshukiwa kutua bongo,wanapigiwa na wanakuwa tayari kumsubili,Destination unayotoka,mtu unatoka UK,unaenda Brazil,unapitia Pakistani harafu huyoooo mpaka bongo hapo lazima ushukiwe,Unatoka huko utokako mfano nchi maarufu kwa madawa hapo lazima ushukiwe,mwonekano yaani jinsi unavyooneka upo kidizain flani hivi hapo unashukiwa na kufanyiwa test ya kunya,au unatoka destination ya mbali harafu huna hata mzigo hapo napo watakushuku tu,taarifa kutoka katika ndege uliyosafiri nayo,mle kuna waatalam haswa wakikushuku na hutaki kula baadhi ya vyakula wanatuma taarifa ili watu wakupokee kwa test ya kunya...
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,641
2,000
Nimepita pale JNIA Dar mara nyingi kwa safari za ndani na nje. kwenda na kurudi na hata hhuko nje kama JKIA . Entebbe. Dubai.etc. Mbona sijawahi kuchekiwa kama nimebeba madawa ya kulevya ? hao wanaokamatwa nayo wanapitia njia ipi torfauti ? Sio kwamba mie nasafirisha huu ujinga la hasha. lakini najiuliza wanaocheki mbona sijawahi kuwaona. Au wanaingia kazini kwa kustukiza ?

acha kukariri ndugu unataka tuanze kupekuanapekuana ni ustaarabu wa wapi huo? jitu linapekuwa beki lako halafu lukimalimaliza halipangi vitu vyako kama ulivyokuwa umwvipanga awali.

binafsi sipendi kabisa ta bia hii ya kupekuanapekuana ni kinyume na haki za binadamu.
 
MoudyBoka

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
909
1,000

Akiona manukato mazuri kama perfume wanaizuia oh hii huruhusiwi kupanda nayo,mara imezidi ujazo!!!
 
Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,822
2,000
Hivi hii biashara ya unga ni ya vigogo mbona tunaoneshwaga waliokutwa na hayo madawa ila sijawahi kusikia wamehukumiwa
 
Prodigal Son

JF-Expert Member
Dec 9, 2009
1,000
2,000
Ni observation nzuri,,,,kinachotumika ni mbinu mkuu.....Tambua airline zote wanatakiwa by sharia kutoa taarifa za abiria.......mara nyingi waanzia huko,,,,,,pia kwenye ndege wahudum na wao wanasaidia......utrakuta safari ni ndefu......kinapitya chakula...mtu hali....maji...hali wanachokifanya wanawasiliana na ruban na yeye anawasiliana na watawala...ukishuka tu lazima wakukamate na kukufanyia inspection................mbinu zinazotumia ni nyingi saana ambazo zingine huwezi andika hapa
 
MJINI CHAI

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
2,160
2,000
Ni observation nzuri,,,,kinachotumika ni mbinu mkuu.....Tambua airline zote wanatakiwa by sharia kutoa taarifa za abiria.......mara nyingi waanzia huko,,,,,,pia kwenye ndege wahudum na wao wanasaidia......utrakuta safari ni ndefu......kinapitya chakula...mtu hali....maji...hali wanachokifanya wanawasiliana na ruban na yeye anawasiliana na watawala...ukishuka tu lazima wakukamate na kukufanyia inspection................mbinu zinazotumia ni nyingi saana ambazo zingine huwezi andika hapa[/QUOTE]inatosha wenye kuelewa wameelewa Mkuu.......
 
bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,322
0
Hongereni kwa michango yenu mingine ni so educative kama yule aliyesema . Mbinu nyingine haziwezi kuwekwa hadharani. THANK YOU. Kuna yule asiyetaka beki lake likaguliwe. huyu naona anataka kuishi kwenye lawless country ili afanye anavyotaka. Katika society watu deviant kama hawa hawakosekani.
 
dikembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
1,646
2,000
Nimepita pale JNIA Dar mara nyingi kwa safari za ndani na nje. kwenda na kurudi na hata hhuko nje kama JKIA . Entebbe. Dubai.etc. Mbona sijawahi kuchekiwa kama nimebeba madawa ya kulevya ? hao wanaokamatwa nayo wanapitia njia ipi torfauti ? Sio kwamba mie nasafirisha huu ujinga la hasha. lakini najiuliza wanaocheki mbona sijawahi kuwaona. Au wanaingia kazini kwa kustukiza ?
Jumapili iliyopita mimi walinisimamisha, baada ya kucheck inn ile nataka kupanda ngazi kwa ajili ya kwenda kuboard..kuna kaofisi upande wa kushoto jamaa fulani(polis wa interpol kama alivyojitambulisha), alinipiga stop na kuniweka chini kitimoto kama dk 20 hivi, maswali meeengi na kukagua documents zangu. Baadae akaniachia, nkamwambia wao hawana target, wanaacha wahusika then wanasumbua waungwana. Nimepita mara nyingi bila kuulizwa.
 
Kuuumbee
 
bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,322
0
Kama wanaangalia pasi iliyopitia Uingereza.....Brazil...Dubai... Dar. basi muuza sembe anaweza kuweka mule mmoja BRAZIL ..UK.. mwingine. UK..DUBAI tu halafu wa mwisho wa ruti ya DAR DXB tu. huoni bw. Nzowa kwamba watakuchenga ?
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
40,646
2,000
Nimepita pale JNIA Dar mara nyingi kwa safari za ndani na nje. kwenda na kurudi na hata hhuko nje kama JKIA . Entebbe. Dubai.etc. Mbona sijawahi kuchekiwa kama nimebeba madawa ya kulevya ? hao wanaokamatwa nayo wanapitia njia ipi torfauti ? Sio kwamba mie nasafirisha huu ujinga la hasha. lakini najiuliza wanaocheki mbona sijawahi kuwaona. Au wanaingia kazini kwa kustukiza ?

jaribu kubeba ndio utajua huwa wanakucheki au wanakuacha tu unapita.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
40,646
2,000
Jumapili iliyopita mimi walinisimamisha, baada ya kucheck inn ile nataka kupanda ngazi kwa ajili ya kwenda kuboard..kuna kaofisi upande wa kushoto jamaa fulani(polis wa interpol kama alivyojitambulisha), alinipiga stop na kuniweka chini kitimoto kama dk 20 hivi, maswali meeengi na kukagua documents zangu. Baadae akaniachia, nkamwambia wao hawana target, wanaacha wahusika then wanasumbua waungwana. Nimepita mara nyingi bila kuulizwa.

kwani una label inayosema wewe muungwana....ile ni random search ikikuangukia unasachiwa vinginevyo wapewe info kuwa mtu fulani kabeba mzigo.
 
bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,322
0
acha kukariri ndugu unataka tuanze kupekuanapekuana ni ustaarabu wa wapi huo? jitu linapekuwa beki lako halafu lukimalimaliza halipangi vitu vyako kama ulivyokuwa umwvipanga awali.

binafsi sipendi kabisa ta bia hii ya kupekuanapekuana ni kinyume na haki za binadamu.

Mkuu umetisha. yaani unataka tupande kwenye ndege ilhali mabegi yote hayajachekiwa ??? Hututakii mema wasafiri wa angani. Inaelekea wewe umejikita zaidi kwenye TAZARA
 
kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,358
2,000
Polisi wa madawa wanakuwa na taarifa ya muhusika kabla huyo mshukiwa kutua bongo,wanapigiwa na wanakuwa tayari kumsubili,Destination unayotoka,mtu unatoka UK,unaenda Brazil,unapitia Pakistani harafu huyoooo mpaka bongo hapo lazima ushukiwe,Unatoka huko utokako mfano nchi maarufu kwa madawa hapo lazima ushukiwe,mwonekano yaani jinsi unavyooneka upo kidizain flani hivi hapo unashukiwa na kufanyiwa test ya kunya,au unatoka destination ya mbali harafu huna hata mzigo hapo napo watakushuku tu,taarifa kutoka katika ndege uliyosafiri nayo,mle kuna waatalam haswa wakikushuku na hutaki kula baadhi ya vyakula wanatuma taarifa ili watu wakupokee kwa test ya kunya...

Kuumbe......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom