Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

Jana nilimuona mzee madabida aakiongea wakati mkuu wa mkoa alipoita waandishi wa habari kuongea kuhusu madawa ya kulevya,huyu mzee aliongea meeeengi na jinsi CCM inavyopambana ili kutokomeza madawa haya yanayoangamiza nguvu kazi ya taifa.
Swali likanijia hivi huyu si ndo mtu alokuwa anatengeneza ARV feki na watu wengi walikufa kwa sababu ya kuzitumia?hivi CCM hawaoni kuwa ARV Feki ni bomu lingine lililoangamiza watanzania.?hivi madabida alipata wapi moral authority ya kukemea uovu huu wa madawa wakati yeye aliweka ma rehani ya watu wetu wengi kwa ARV zile feki?
Ingekuwa China tayari tungeshamsahau. Ila kwa kuwa yupo kwenye genge la wenzie anaofanana nao hakuna noma.
 
Ilikuwa lazima Madabida ahudhurie ile windup ya jana! Kwamba, alitengeneza ARV Fake hilo ni jambo moja lakini kuhudhulia shughuli ya kisiasa ni jambo lingine! Tangu mwanzoni watu tulikuwa tunasema kwamba zoezi limejaa viashiria vya siasa ndani yake! Jambo lolote linalohusisha siasa utalijua tu kwa sababu professionalism inakuwa sio hoja ya msingi kwenye suala husika bali publicity!

Jana Madabida amethibitisha kwamba lilikuwa ni suala la kisiasa! Kule background kulikuwa ama na vijana wadogo au audio iliyokuwa inatoa vibwagizo kwa mtindo wa Chipukizi wwa CCM!
 
Jana nimesikitika sana kuona kuna uwezekano hii serikali kuweza kuwatajirisha watu.Maana yule kamishina wa madawa ya kulevya amesema sasa wameanza kutumia mbinu nyingine ya kupambana na madawa ya kulivya. Baadala ya ule mfumo wa kuwataja hadhara ,amesema " mfumo huu ni mfumo unaofuata sheria na sio mfumo utaoweza kumuonea MTU .sababu utamuona MTU anamtaja MTU kwa chuki binafsi tu alafu anamleta kama mtuhumiwa"alimalizia kamishina wa madawa ya kulevya. Hofu yangu kunauwekano mkubwa serikali kuwalipa fidia kubwa wale waliowatuhumu bila ushahi.
 
Jana nilimuona mzee madabida aakiongea wakati mkuu wa mkoa alipoita waandishi wa habari kuongea kuhusu madawa ya kulevya,huyu mzee aliongea meeeengi na jinsi CCM inavyopambana ili kutokomeza madawa haya yanayoangamiza nguvu kazi ya taifa.
Swali likanijia hivi huyu si ndo mtu alokuwa anatengeneza ARV feki na watu wengi walikufa kwa sababu ya kuzitumia?hivi CCM hawaoni kuwa ARV Feki ni bomu lingine lililoangamiza watanzania.?hivi madabida alipata wapi moral authority ya kukemea uovu huu wa madawa wakati yeye aliweka ma rehani ya watu wetu wengi kwa ARV zile feki?
ARV feki ni tatizo kubwa kuliko madawa ya kulevya. But mhusika ni kiongozi wa CCM hawa hawaguswi maana chama kinaaamini wapo juu ya sheria.
Unakumbuka kule Arusha kuna mtu aligushi kitambilisho cha usalama wa taifa? As long as ni kiongozi wa CCM aliachiwa mara moja case dismiss!!!
 
MBONA me mwanachadema Ila naunga mkono hii vita Kwa asilimia MIA. Wako sawa

Ule mkwara wa kishamba ulichimba juzi hapa jukwaani eti leo jummane saa 3 asubuhi kuna jambo moja zito tutasikia linaloashiria upambanaji wa dhati wa unga bado utakuwepo? Au umemezwa na ile kick ya kiccm ya jana?
 
Huwa nakereka sana eti shughuli tunayoita ya kitaifa jitu linatokea huko mimi mwenyekiti wa ccm..........bla bla nyingiiii!
Basi ngoja wasio ccm wakae pembeni kwenye hiyo vita hao ccm ndio waendelee!

Pu.mba.fu kabisa
 
Serkali hii ni ya CCM inatekeleza ilani ya CCM. Huyu ni Mkuu wa CCM katika Mkoa na yule ni Mkuu wa Serkali katika Mkoa. Wananchi wanafurahi kuona kuwa kura waliyopiga kuichagua CCM inazaa matunda, kama walivyoahidiwa.

Madabida ni Mwenyekiti wa CCM, kaja na kofia hiyo na anasema kwa nguvu ya kofia hiyo. Hata Mbowe au Lowassa angekuwa ni Mwenyekiti wa CCM angefanya hiyo kazi licha ya kwamba wana tuhuma nzito (Lowassa anatuhumiwa ufisadi na Chadema; #Mbowe_anatuhumiwa madawa_ya kulevya_na_mapolisi). Ana madaraka yote.
Makonda sikuizi ni polisi?
 
Jana nilimuona mzee madabida aakiongea wakati mkuu wa mkoa alipoita waandishi wa habari kuongea kuhusu madawa ya kulevya,huyu mzee aliongea meeeengi na jinsi CCM inavyopambana ili kutokomeza madawa haya yanayoangamiza nguvu kazi ya taifa.
Swali likanijia hivi huyu si ndo mtu alokuwa anatengeneza ARV feki na watu wengi walikufa kwa sababu ya kuzitumia?hivi CCM hawaoni kuwa ARV Feki ni bomu lingine lililoangamiza watanzania.?hivi madabida alipata wapi moral authority ya kukemea uovu huu wa madawa wakati yeye aliweka ma rehani ya watu wetu wengi kwa ARV zile feki?
Huyu Madabida ndiye wakala wa kile kipimo cha kupimia ulevi alichokipigia debe Makonda kwamba watu wakinunue Pharmacy
 
Jana nilimuona mzee madabida aakiongea wakati mkuu wa mkoa alipoita waandishi wa habari kuongea kuhusu madawa ya kulevya,huyu mzee aliongea meeeengi na jinsi CCM inavyopambana ili kutokomeza madawa haya yanayoangamiza nguvu kazi ya taifa.
Swali likanijia hivi huyu si ndo mtu alokuwa anatengeneza ARV feki na watu wengi walikufa kwa sababu ya kuzitumia?hivi CCM hawaoni kuwa ARV Feki ni bomu lingine lililoangamiza watanzania.?hivi madabida alipata wapi moral authority ya kukemea uovu huu wa madawa wakati yeye aliweka ma rehani ya watu wetu wengi kwa ARV zile feki?
Naye sikuzake ZINAHESABIKA

Naye siku zake ZINAHESABIKA
 
Kiwanda ni changu lakini ARV fake si zangu! compare with Meli ni yangu lakini meno ya tembo si yangu!

The writing is already on the wall. I beg to quit.
 
Badala ya kumpa kipaumbele Meya wa jiji na mameya wake wa Halmashauri za manispaa ambao ndio wana pesa katika halmashauri zao ambazo zaweza kutengwa sehemu kusaidia kupambana na madhila hayo anamuita mwenyekiti wa ccm kuzungumzia sera ambazo ndio zimezalisha tatizo hilo ni kichekesho kikubwa.
Kwanza ccm Dar haina kitu hivyo ilikuwa ni upotevu wa muda kumleta pale Muuzaji wa ARV fake ambazo zimeua watu wengi pengine kuliko hayo madawa. Hiyo ni dharau kwa waliopatwa na madhila hayo,
 
ni mtu yule tu asiyejua utumishi wa umma unavyofanya kazi ndio ataunga mkono uwepo wa kiongozi wa chama cha kisiasa high table kwenye shughuli ya kiserikali kama ile tena anapewa muda na kumwaga vibwagizo/vijembe vya kisiasa.
 
Serikali iliyopo madarakani ni ya CCM. Cha Kushangaza Rais wako ndio Mwenyekiti wa CCM Taifa!

RC Makonda pia ni MwanaCCM

Ramadhan Madabida ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam.Ambapo RC Makonda ni MwanaChama wake pamoja na Rais Magufuli!

Tusiendeleze majungu, tufanye Kazi.
kwa hiyo kile kiwanda cha ARV feki ni cha CCM?
aibuuuu!!!!
 
Jana nilimuona mzee madabida aakiongea wakati mkuu wa mkoa alipoita waandishi wa habari kuongea kuhusu madawa ya kulevya,huyu mzee aliongea meeeengi na jinsi CCM inavyopambana ili kutokomeza madawa haya yanayoangamiza nguvu kazi ya taifa.
Swali likanijia hivi huyu si ndo mtu alokuwa anatengeneza ARV feki na watu wengi walikufa kwa sababu ya kuzitumia?hivi CCM hawaoni kuwa ARV Feki ni bomu lingine lililoangamiza watanzania.?hivi madabida alipata wapi moral authority ya kukemea uovu huu wa madawa wakati yeye aliweka ma rehani ya watu wetu wengi kwa ARV zile feki?
Shangaa ya lowasa kwanza kutoka kuwa fisadi papa hadi mwadilifu namba moja na kugombea Urais kupitia chama chenu dhalimu
 
Serikali iliyopo madarakani ni ya CCM. Cha Kushangaza Rais wako ndio Mwenyekiti wa CCM Taifa!

RC Makonda pia ni MwanaCCM

Ramadhan Madabida ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam.Ambapo RC Makonda ni MwanaChama wake pamoja na Rais Magufuli!

Tusiendeleze majungu, tufanye Kazi.
Majungu ya ARV fake.Hivi unajua kile kiwanda kilikuwa kimepewa ufadhili na nani??Na unajua kilikosesha Taifa nini??Ni bora kingepewa MSD.Akili yako imeshikwa na Makonda
 
Back
Top Bottom