Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

Inabidi harakati hizi ziboreshwe maradufu otherwise nguvu kazi ya taifa ambao ni vijana itapotea ifike mahali madawa ya kulevya iwe stor za kale hapa Tz....kila la kher makonda...no kubembea

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Umeambiwa yeye na kamanda Sirro wanaawamu saba, na jana ni awamu ya tatu tu, bado anaendelea ila akipata majina akakabidhi kwa kamishna
Kapigwa benchi hana tena sauti.
Kithibitisha hili ndo mana jana kwenye tamthilia yake hakufanua alichozoea kufanya. Kapiga kimyaaa . ...DaDadekk...
Na bado anasubiriwa mjengoni na kamati ajibu tuhuma za kudharau bunge. Ikesha hapo pilato nae anamsubiri kujibu mashtaka ya mbowe. Aandae wadhamini tu
 
Itafika wakati wataanza kuwa wanayatoa kwa awamu yale yaliyochapishwa kwenye gazeti la Jamhuri na kujifanya wao na intelijensia yao ndo wamefanikisha (Wauza unga hawa | Gazeti la Jamhuri)
Hata hapa JF Admin aliweka uzi kitambo sana tena Sticky wa madawa ya kulevya sasa yatosha.

Badala yake anatokea pimbi mmoja anajifanya ana orodha wakati kila kitu tulishakichambuwa humu JF na majina yapo tangu huyo pimbi hajawahi hata kumiliki milioni cash money. Jingaz kabisa.
 
Kuwataja ni kuendeleza kosa ngoja atuache na Arosto zetu. Alisema kuna moto utawaka leo basi tusubiri vyombo vya habari tutapata majina mengine. Waliotajwa ndiyo hivyo tena labda kama wana uwezo wa kupigania haki zao wengi wao/wetu hatuna.


Huo moto mmeusikia ndugu zangu?
 
.
Story za makonda anazokuja elezea majukwaani kwamba ni utafiti wa kiintelejensia anahadisiwa na watu kama huyu dada wa shungi. Sasa ukisikia makonda akielezea njia za madawa ya kulevya utafikiri waliwahi kamata hata mtu mmoja kupitia hizo njia kumbe wapi.
Makonda amenikumbusha jamaa mmoja kwa jina la mtafiti aliyekuwa anapatikana katika kijiwe cha ghahawa mwembe chai. Alikuwa ni much know sana na story kama hizi .
Halafu na wale Watoto mmoja anaedai ameambukizwa Gonjwa hatari la UKIMWI akiwa na umri wa Miaka Kumi na moja (11).

Ni mipango tu.

Waweza kuta mtoto hana Ngoma wala nini.

Wale mateja waliowaweka Kituoni itakuwa wamewapiga sopu sopu, wakawafundisha na maneno ya kuongea watakapopanda Jukwaani na wakawapa na Ganji.

Kama ujuavyo wateja ukiwapoza wala hawatokuangusha, kwa lolote lile.

Siwaombei mabaya, nawatakia kila la kheri. Ila nijuavyo mimi Wateja wachache sana wanaacha kiukweli, wengi wao wanapumzika tu kisha wanarudi tena kwenye Uteja. Yaani wanagonga kama kawa.

Baba JAMALI kioo cha Jamii tunamtegemea, yale aliyoyazungumza pale Ukumbini ayafanyie Kazi, tena ayafanyie Kazi kweli.

Itaniuma sana nikimuona au nikisikia Baba JAMALI ameanza kugonga tena, unafikiri ni mfano gani kwa JAMALI?
 
Habari wanajamii kwanza kabisa poleni na mihangaiko ya hapa na pale ya kuhakikisha ugali wa kila siku unapatikana....
Langu hapa leo ni moja tu, tumeshuhudia takribani wiki mbili hivi mikikimikiki ya hapa na pale juu ya sakata la madawa ya kulevya, lakini mwisho wa siku hatujaelewa nini kina endelea, na wala hatujajua katika oroza iliyotajwa na Makondakta ni nani ambae kathibitika kua ndo anauza au kuagiza madawa hayo, mwisho wa siku kilichotokea ni kuharibia watu majina.... Sasa naomba kwa ruhusa ya Mood niwataje humu humu jamii forum wahusika wakuu wa biashara hii, maana hao waloitwa hakuna hata mmoja wapo ambae kathibitika..... NAWAKILISHA
 
Back
Top Bottom