Madaraka ya KULEVYA! Msafara wa mgombea urais magari 60

Madaraka ya KULEVYA! Msafara wa mgombea urais magari 60

Kampeni na bata
IMG-20200908-WA0176.jpg
 
Madogo sana mkuu ilitakiwa hata mia swali kwako kwani gari ni za ccm au za serekali


Vyovyote iwe ni ya chama au serikali haiondoi hoja ya mleta mada!

Mali za chama zinatokana na wananchi na zina maslahi ya umma vivyo hivyo mali za serikali!

Kwa hiyo swala la kuwa ni mali ya chama au serikali ni irrelevant.
 
Raisi wa nchi lazima alindwe kwa gharama yyte Ile
ila mtu mjinga hawezi kuelewa...
 
unataka kusafiri zaidi ya 30k km au na zaidi ndani ya muda fulani
kwa mwenye akili atamtafta mtaalam wa usafiri amshauri ...

Gari ya zaidi cc4500 inafaa lakini pia usalama wa gari ziwapo barabarani +comfortability na nk
lazima ziwe SUV maana tunafika popote nazo!!

magari kua mengi toa ulinzi toa uvccm toa toa uwccm toa wagombea wote wa ubunge toa kamati kuu toa k/mkuu
wakuu wa vyombo vya ulinzi toa wakuu wa wilaya na wakurigenzi wao toa watu wa service za magari haya watoe na tot band bado wapambe wa ccm na somtym mawaziri pia na nk...

kwel nyumbu atabaki kua nyumbu tuu ccm inahela hadi basi
 
em tuliza akili ujiokoe na unyumbu ulio tamalaki kichwani kwako

umezidi kuandika pumba nowadays!!
Halafu unapoteza muda wako kuzisoma na kuzichangia ....unajua matokeo yake ninini?badala ya kuwa great thinker unakuwa great sinker
 
Mkuu huyo ni rais hapo Kuna magali ya ulinzi wake Kama rais kuna polisi Kuna ccm wenyewe kuna wasindikizaji hao na viongozi mbalimbali so lazima magari yawe mengi la kujadili ni Kama utakuwa na ushahidi wa hila juu ya utumiaji wa Mali za umma.. ccm awamu zote 5 madarakani wakose hizo v8.. [emoji28]
Hata Kama ni wewe think twice hapo.. swala si magari tuonyeshe ubadhilifu..

CHAUMA DAMUDAMU.. wametunyima na wali takukuru wenu wanasema ni rushwa! Wivu tu..[emoji28]
Huyu andhani CCM in kula ruzuku kama wao hadi wameshindwa kujenga ofisi.
 
hua najiuliza sana sijui watanzania wana laana gani inawatafuna, mnapata rais wa kuwakingia kifua dhidi ya raslimali za taifa bt bado mnaleta uswaz usio maana.

marekani wana rais chizi mda wote yeye ni kubwatuka mitandaoni bt ukiingia kwenye platfom zake wamarekani wengi wana msuport kweli licha ya madhaifu yake.
Nyie wazee mmeshachoka muachie nchi hii,tunahitaji rais Mbunifu mwenye uwezo wa kutransform uchumi wa nchi bila kuumiza watu,Hatuchagui rais wa kulinda rasilimali.
 
alafu cha ajabu ccm hao hao waso na akili ndo wanaendesha nchi hadi waume zenu mabeberu wanang'aka
Sasa wapiga kura viazi kama nyie unadhani huo uongozi utakuaje?
Hakuna mwenye akili anaweza chagua CCM labda kama katanguliza tumbo mbele
 
Madaraka matamu asikwambie mtu...huu ni msafara wa kisiasa wa mgombea urais..Jumla ya magari 60
VX V8 ni pungufu kidogo ya 45, yaliyobaki ni Toyota hard top na Nissan Patrol...Hizi V8 ni gari za kifahari sana na bei yake ni chini kidogo ya million 250 kwa moja..
Magari yote haya yana mafuta full tank na kila gari halipungui watu wane ndani...kwa uchache kabisa ni msafara wa watu 150...
Haya magari na hawa watu ..vyote kwa pamoja vinahudumiwa na KODI ZETU...!!!

Msafara ghali namna hii unapita kwenye miji na vijiji vyenye umaskini wa kutupwa huku huduma za kijamii za msingi zikiwa duni....
Madaraka ni matamu sana ....kilevi cha madaraka ni kibaya kuliko kokeni....ukiweza piga bajeti ya kila siku ya msafara kama huu....mchwa na wale nzige wa jangwani hapa wanasubiri

View attachment 1559120

Jr[emoji769]
Bwashee huyo ni mgombea na amiri jeshi mkuu kwa wakati mmoja ,acha wivu wa kichawi
 
Nyie wazee mmeshachoka muachie nchi hii,tunahitaji rais Mbunifu mwenye uwezo wa kutransform uchumi wa nchi bila kuumiza watu,Hatuchagui rais wa kulinda rasilimali.
bila ccm nchi hii itageuka uwanja wa vita amini nakwambia, hao unaotaka waongoze wana vipaji vya kubwatuka tu ka mbwa koko na si kuongoza nchi, ukitaka kuprove chukua mfano wa sakata la madini huyo punguani alosema tunaibiwa madin serikali ilipolishughulikia bila aibu akarudi upande wa pili.
 
Mkimchagua mtu ambaye simtaki mimi😀🤣 sitawajengea hosiptali mpo hapo wandugu
 
Back
Top Bottom