Inatafutwa political mileage tu mkuu hamna kingine, mtu atrend kwenye media basi.Huwezi kuiua kwa kuvunja vibanda vichache vilivyojichokea
Wewe na yeye mnaweza kuwa na akili sawaYuko sahihi.
Usimwambie aache..
Aongeze Nguvu.
Sawa.Wewe na yeye mnaweza kuwa na akili sawa
Anzeni ninyi kwanza kuwakataa hao malaya huko vitambaa vyeupe...Umalaya umekita hatamu ,nilishangaa kuona RC anaenda Sehemu za wachovu waliokata tamaa badala hata angejaribu kuona kinachoendelea kitambaa cheupe jinsi watoto wa kike wavyopigishwa Saba .
Huwezi kuondoa tatizo kwa kugusa tabaka la mwisho na wachovu ,ninani asiyeijua kuwa Malaya wa madanguro niwachovu na wamechoka kupita kiasi.
Nb: mtu yoyote asithubutu kwenda kulala na Malaya wa kimboka au madanguro au mtandaoni Kama unajijua haupo vizuri kiroho.
Mimi sio mnunuaji wa MALAYA maana naijua michezo michafu amabayo huwa wanafanya ili wapate watejaAnzeni ninyi kwanza kuwakataa hao malaya huko vitambaa vyeupe...
It begins with u...GIGOLOS'
Yeye anaanzia sehemu zenye malaya wengi zinazojulikanaRC ambaye hata akizungumza hashirikishi ubongo wake usitegemee atakuwa na jambo la maana zaidi ya kukurupuka na kurukia mambo bila akili
Kuongea ni rahisiYeye anasnzia sehemu zenye malaya wengi zinazojulikana
Kwa taarifa yako hatua alizochukua zimeanza kuzaa matunda abiria wameongezeka kwenye mabasi wanaolekea kagera ghafla
Watu wanahama jiji
Eti unamuachia Mungu.Mungu.anafurahia umalaya?Kwa kifupi vita yake dhidi ya Ukahaba atachemka siyo muda mrefu! Yeye siyo RC wa kwanza kwa Dar kutangaza vita dhidi ya biashara hii. Kama sikusahau RC nayemkumbuka alifanya vita hii akachemka alikuwa Yusufu Makamba!
Biashara ya ukahaba ni janga la dunia nzima!
Nikumwachia Mungu tu aishughulikie Yeye Mwenyewe!
Sijasema Mungu anafurahia Ukahaba,lakini huwezi kuipiga vita hii shughuli ukaiweza!Eti unamuachia Mungu.Mungu.anafurahia umalaya?
Kila kitabu na zama zake
Kuna yaliyowashinda waliotangulia wengine waliofuata wakaweza .Keani hao uliowataj ni miungu kuwa wao pekee ndio wangeweza?
Uchangu siku hizi uko mitandaoni.. Hiyo biashara ilishaana na analogia kitambo sanaYuko sahihi.
Usimwambie aache..
Aongeze Nguvu.
WachinaKuna mtu aliniambia kuna madanguro hadi wachina. Dar ndiyo mkoa mdogo kuliko wote lakini kuna mambo mengi.
Chalamila hajawahi kuwa na akiliRC ambaye hata akizungumza hashirikishi ubongo wake usitegemee atakuwa na jambo la maana zaidi ya kukurupuka na kurukia mambo bila akili