Na mwaka huu tutawasuta mpaka muhame mji.
Na tunaanza na wewe maana nimepata habari kuwa ulimkuwadia mume wangu Ruttashobolwa mpaka akapata mke.
Jiandae............
akhuuuu
Ukinilimboka jeeeeee?????
Usinitafute ubaya mie m baba wa watu, mumeo we mwenyewe unamjua alivyo shingo feni akiona sketi, wa kumkuwadia awe Ruttashobolwa!??? ukitaka ukweli muulize ndugu yake Judgement
Usijali Best,
Mjini mipangoooooooooo.........
Sasa Nicas Mtei nakushangaa sana,
Wewe unaishi peke yako, House Girl wa nini?
au ndo unataka mke kijanja?
watafute wote hao muunde utano mtakavitu ohh sore ni utano mtakatifu.
Mhhhhh!!!!!!!!!!
Nina wasi wasi na Makaribisho yako...
Afu Arushaone nahisi hilo Group litakuwa Khabari ya Mjini ktk Magazeti ya Udaku.
Nitawatafuta ili tufungue kampuni........lol...........
Mkileta za kuleta:fencing::fencing: :target: :target: :target::target:
CHEZEA MADADA WA MJINIIIIIIIIIIIIIII..................
Jamani jamani,
Asikwambie Mtu, Chit Chat tamuuu.....!!!!!!!!!!, matumbo nilikumisijeeee, japo najua huko uliko unaguna tuuuuuuuuu.............!!!!!!!!!!!! Madame B nimerudi na Ari mpya, Nguvu mpya
Wanaume nimewaletea vimwali toka Tanga, PM kama utahitaji.
Ni yuleyule Nyonga mkalia ini la Ruttashobolwa na Arushaone japo kajidai kuwaongeza Preta na Blaki Womani.
Nakwambia tutabanana humu humu,Mkimwaga mboga, me nazizoa naziosha kisha nazibugia,na sitamwaga ugali kamwe.
Werrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
UNAKWEA MNAZI HUKU UMEVAA MSULI, UNATEGEMEA NINI.....???????
Mbona unamtisha mwenzio?
Jamani mimi namshangaa huyu B52 anavyo piga sarakasi wakati amevaa taulo. weraweraaaa....!!!. chezea kipipi weye!. mia