teh teh, kakosea njia!
Chit chat maana yake nini?
dah! hapa umenikosha. hivi miss chit chat Ciello atakuwepo. Namuomba kama atakuja aje peke yake halafu ajitahidi kuvaa nguo ambazo hazisumbui kuvua tayari kwa kupiga mbizi. Mimi ntakua mwenyeji wake. miaZitakuwepo. Za baridi na za moto
hata sijui, hebu kawaulize pou na invizibo.
Tazama hiyo post inajibu nini kwanza. Halafu unajuwa maana ya chit chat? hivi nyinyi huwa mnasomeshwa ujinga?
Kama hujui, ukiwa chit chat uwe unajibu unavyovijuwa tu, utasutwa.
calm down mzee. Mbona unaweweseka? Take a time uwe japo unawaza kwa kutumia ubongo.
Jamani jamani,
Asikwambie Mtu, Chit Chat tamuuu.....!!!!!!!!!!, matumbo nilikumisijeeee, japo najua huko uliko unaguna tuuuuuuuuu.............!!!!!!!!!!!!
Kama hujui, ukiwa chit chat uwe unajibu unavyovijuwa tu, utasutwa.
Kama hujui, ukiwa chit chat uwe unajibu unavyovijuwa tu, utasutwa.
madam B nasikia Ruttashobolwa kakumwaga kisa eti kakufuma na mihirizi kibao,ulipoulizwa mara oh Zinduna alinipa nimwekee kumbe kakupa mzee mdingamdinga wa makorora.
karibu tena mjini
madame,mimi naendelea kuwapanga tu mademu hapa mjini..juzi nimepata
kitoto kibichiiii jukwaa la nafasi za kazi nimekigongaje!!matumbo
sometime nakuwaga HR..
madam B nasikia
Ruttashobolwa kakumwaga kisa eti kakufuma na
mihirizi kibao,ulipoulizwa mara oh Zinduna
alinipa nimwekee kumbe kakupa mzee mdingamdinga wa makorora.
Haya maneno hata mi nimeyaskia , yaani nimeshasikia kwa watu 18 !
Bishanga unakua wa 19 nakusikia unayarudia !
Shem hata wewe unanisaliti?
Kweli unamsapoti Bishanga?
Hujui kama huyo anapenda kuona penzi langu na Ruttashobolwa laenda Halijojo?
Haya bhana,ngoja nikanywe zangu gambe.