hahahaaa Jiwe Linaloishi tw have made my day, et "menealone"! btw how r u!
hahahah mkuu maswali yepi tena hayoo.... kikombe hicho kiniepuke..
Duh, Madame B sikutegemea kuwa wewe ni mkali hivi, yaani ulivyomzodoa mathematics siku ile pale kwenye chimbo hata sikuamini..............LOL
Jiwe Linaloishi hicho hakitakuepuka aise
Uwe tuu mjanja kuwasilisha bahasha ya khhaki kabla sijakulipua kashfa zako
mmmhhhhh! unatafuta kivuli saa 12 alfajiri??? chocheaaaaaa, chocheaaaaa kuni mbichi moto uwake, ugali upikwe! lolaaahhh aaahh mnanipiga zongo na mi niko hapa hapa...... cacico huo moto mnaukoka we na Madame B ukiwaka mtauota haki ya nani...
Jiwe Linaloishi siku hizi napata karibu kreti nzima so jiandae na trupa ni karibu sahani nzimahahahahh waambie hapo crstal wakupe Hennesy na trupa ya mbuzi nakuja tutete lakini mi najijua ni msafi....
mmmhhhh babu yamekuwa hayo?? nilikuwa naangalia mtwangio upo pande ipi, maana kote kulikuwa kumevimba!!! lolest!
hahahahah mkuu huko unakoelekea siko, mi usiniweke si unajua kuna jimbo moja nataka kugombea ukiweka picha yangu hapa umechana chana CV yangu wallah
kazi ipo!! itabidi kikao kimojawapo Natalia aalikwe, nina hamu ya kucheka aseeeee!Duh, Madame B sikutegemea kuwa wewe ni mkali hivi, yaani ulivyomzodoa mathematics siku ile pale kwenye chimbo hata sikuamini..............LOL
Jiwe Linaloishi siku hizi napata karibu kreti nzima so jiandae na trupa ni karibu sahani nzima
Mkuu Jiwe Linaloishi, ulijitwalia mapemaa na kututosa. Hukungoja hata amalize shifti yake ushabeba... Tulipata shida sana kufata vinywaji wenyewe kaunta.... Mkuu wewe hufai bana.............LOL
mmmhhhhh! unatafuta kivuli saa 12 alfajiri??? chocheaaaaaa, chocheaaaaua kni mbichi moto uwake, ugali upikwe! lol
Jiwe Linaloishi hayo uliyomalizia hapo huwahayasemwi inakuwa kimya kimyahahahaha malizia korasi hiyoo basi na wadada je unapata watatu wazima ....au amaaaaa....hahaha
Jiwe Linaloishi hayo uliyomalizia hapo huwahayasemwi inakuwa kimya kimya