umeme ulikuwa unasua sua, vibration ikagoma ya ku-boost!hahahahahaha. Last meeting huo ubapa ulikosa nafasi ya kutikisika.
tena nna chumba cha wageni na cha 3some kama hubby akiridhia ubapa wako! karibuje thatha!!??hahahaa, mbona mwanitisha. Madame B na Nicas Mtei. please mume atakuja kunileta na kunifuata tu. je hapo ataruhusiwa ama kunileta na kunifata pia haruhusiwi? afu we nicas mbna unajiwah kuwa mwenyeji wangu? me nataka cacico ndo awe mwenyeji wangu!
hahahaa, mbona mwanitisha. Madame B na Nicas Mtei. please mume atakuja kunileta na kunifuata tu. je hapo ataruhusiwa ama kunileta na kunifata pia haruhusiwi? afu we nicas mbna unajiwah kuwa mwenyeji wangu? me nataka cacico ndo awe mwenyeji wangu!
imbombo ngafu!! mbombo njilipo! lol! haya bana!pika ugalì halafu pga tonge kavu huku una check picha hyo.
bussy na mababu wa jf! mbona mababu hamjawatumia copy ya ukaribisho?? Mtambuzi alitoa huduma si ya kitoto, kweli mama ngina anajibwedea! waleteni na mababu wengine nipate tathmini, Asprin huduma zake kunako 6 by 6 hazina shaka, ndio maana wote nawapa cheti cha kujua ku-care, lol! mababu mpo juuuuuuuuu!hata usiwe mwoga. cacico atakuwa busy cku hyo.
tena nna chumba cha wageni na cha 3some kama hubby akiridhia ubapa wako! karibuje thatha!!??
Shosti kwani siku ile ulilewaaaaa?????
Wan'tia shaka bhana,Picha lilikuwa nje nje jamani. Mtambuzi hakukujuza?
Maana na yeye ile miwani anaona mbali sana.
yote heri! ila kesho yake usifungue uzi, ooohhhh nyama zake zipo ka 'couliflower' naombeni msaada!! shindwa nakwambia, kama huwezi lizombe kacheze tapo! achana na ngoma za wakubwa!Hahahahaha. Mi ndo ntakuwa mwenyeji wake.
bussy na mababu wa jf! mbona mababu hamjawatumia copy ya ukaribisho?? Mtambuzi alitoa huduma si ya kitoto, kweli mama ngina anajibwedea! waleteni na mababu wengine nipate tathmini, Asprin huduma zake kunako 6 by 6 hazina shaka, ndio maana wote nawapa cheti cha kujua ku-care, lol! mababu mpo juuuuuuuuu!
mwambieeeee, mhabarisheeeee, mtahadharisheeeee! tuna ubapa, lakini unacheza, tena bila vibration!! karibu charminglady! copy kwa Erickb52 na @c6!
yote heri! ila kesho yake usifungue uzi, ooohhhh nyama zake zipo ka 'couliflower' naombeni msaada!! shindwa nakwambia, kama huwezi lizombe kacheze tapo! achana na ngoma za wakubwa!
mamito mbona unaniharîbia mwenzio, sema taratibu basi mwishowe nitanyimwa ruksa. futa kauli yako kabla jua halijazama!
mbona kutamanishana mchana wote huu jamani??
unaogopa maji! wakati supu ya pweza ndio tiba yako!! unalooooooo!hahahahahaha.haitatokea.. Mi ntam mjali wakati wa hcho kikao che2 tu. Hayo mengine mi staki.
haya hali zako?? nakungoja ujue hiyo siku, ole wako usitokee!yan acha,ana makusudi kweli huyu!