Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Mamito charminglady wala usijali.
Yani huku ni full kupombeka.
ONYO
Usije na Mumeo
asije akazitamani nyonga zetu bureeeeeee.............
Hakyamungu tena Nicas Mtei!
Jamani jamani Arushaone, unamsapoti Mtei???
Unanisaliti?????
mwambieeeee, mhabarisheeeee, mtahadharisheeeee! tuna ubapa, lakini unacheza, tena bila vibration!! karibu charminglady! copy kwa Erickb52 na @c6!Mamito charminglady wala usijali.
Yani huku ni full kupombeka.
ONYO
Usije na Mumeo
asije akazitamani nyonga zetu bureeeeeee.............
tobaaaaaaaaa! yatamanisha wallah!Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kisu mfupani.
roho yaniumajeee! wallahi this tym naja. wekeni time table mapema ili nami niwepo. make usafiri wa basi na hizi mvua, kuja huko watumia 2days.
copy to cacico, Madame B na Nicas Mtei.........
mbona kutamanishana mchana wote huu jamani??Karibuni
mwambieeeee, mhabarisheeeee, mtahadharisheeeee! tuna ubapa, lakini unacheza, tena bila vibration!! karibu charminglady! copy kwa Erickb52 na @c6!
miaka hiyo na robo, lol! ''watuwacheeeeeee tupumuwe!!'Hata nami namshanga,
Anakea mnazi wakati kavaa msuli??????
Atupishe sieeeeeeeeeee,
Miaka 100000000000000.
mbona kutamanishana mchana wote huu jamani??