Madam Rita Paulsen na Benchmark Productions kwa hili mmetia aibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madam Rita Paulsen na Benchmark Productions kwa hili mmetia aibu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by MKATA KIU, Oct 1, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wadau..

  Rita Paulsen anamiliki Benchmark productions ambayo ni kampuni ya kutengeneza music videos, matangazo na engineyo..

  Kuonyesha kwamba productions zake ni magumashi na hata yeye hajiamini na kampuni yake Tangazo la bongo star search Kitoto chaanza tambaa ameshindwa kulifanya mwenyewe na kampuni yake au hata kampuni zingine za bongo na kuwasafirisha msanii, master jay, salama na crew nzima mpaka Mumbai india kwa ajili ya kufanyiwa tangazo na proffessional companies as bongo hakuna kampuni itayoweza kufanya tangazo quality

  for more details cheki making of the advert in Mumbai, India uone waindi walivyojiachia kwenye tangazo la BSS,,

  BEHIND THE SCENES OF THE EPIQ BONGO STAR SEACH COMMERICIAL (ENGLISH) - YouTube
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Bss hakuna lolote la maana pale nadhani pesa ya udhamini wanakula toka shindano lianze hakuna hata product moja iliyopo kwenye chati
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,853
  Trophy Points: 280
  Dah kumbe walienda india duh haya bana

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 4. m

  mhondo JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kwa sababu ni hela zake hamna shida. Ni kama Simba, Azam na Yanga zinavyochukua makocha kutoka nje wakati hata Tanzania kuna Makocha.
   
 5. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kwani Tatizo Lipo Wapi ??? Mfano AUDI AG ndio wanatengeza Lamboghini ..President wake anatumia AUDI,BMW,Fiat na Lamboghini ..

  Don't hate this is Business they have to impress Sponsors

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,077
  Likes Received: 10,436
  Trophy Points: 280
  Nafikiri si madam Ritta bali kampuni ya Zantel ndo ilidhamini hilo tangazo na kugharimia kila kitu...
  Tusipende kujamp kwenye conlusion..
   
 7. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  bongo miujiza
   
 8. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hicho kimama sikipendiiiiiii!
   
 9. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kwahiyo kitu cha (zantel......mambo ni motooooo!) in madam rita voice,kimepikwa india? mbona kawaida sana, kwan nikichek tangazo naliona haliko kimbele kihivyo, ila zantel waendelee tu kuimprove huduma ya internet , biashara ya vocha imewashinda kucapture soko
   
 10. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mkuu naomba nikueleweshe katika productions issues hayo masuala ni ya kawaida sana utakuta kampuni fulani inawapa tenda kampuni fulani kazi fulani hata movies nyingi za ulaya unakuta kampuni kubwa kama paramount pictures, 20 century Fox na Warner Bros wanatoa tenda kwa studio zingine ndogo ndogo katika kutengeneza movie ile then wao wanabaki na rights ya ku distribute na kuimiliki that movie ni nyingi sana nikianza kuzitaja hapa nitamaliza kesho kutwa mfano transformer ni movie ya paramount ila shooting imefanywa na di bonaventure picture

  Pirates of the carribean ni movie ya walt disney ila imetengenezwa na Jerry Bruckheimer Films  Watanzania tunataka tufike level za juu za production ila watu wakianza kufanya kazi na makampuni ya nje mazuri its a Good start watu mnaponda na sielewi kwa nn mnaponda wakati tangazo ni zuri kuanzia quality mpaka concept

  Pili watanzania tuna UMIMI LISM sana kila kitu tunataka kufanya sisi hata kama mwenzangu anaweza fanya kama mm tena kwa ubora ninaoutaka ila sisi watanzania tunasema yanini tunaponda ponda kwa mtaji huu hatutaendelea na tutamuona mwenzetu anazidi kupaa kila siku Bss inakua badala na sisi tufanye kazi tunasema kuwa eti amejiabisha....

  Mfano mwingine ni kuwa mbona Apple zote design inafanywa CA ila kutengenezwa zinatengezwa China??
  Kwani marekani hawana makampuni ya kutengeneza handset??

  Ngoja niendelee kunywa kahawa yangu inapoa...
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Wangelipeleka RJ Company hilo tangazo.....
   
 12. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  ili mtu kutia aibu ni kwamba afanye jambo ktk ofisi ya tuone ipo substandard ndipo ataonekana kutia aibu,who knows benchmarks na zantel wamekubaliana nin,sidhan kama madam rita angeona jambo linawezekana kufanyika kwake akaliacha coz she is always looking for oportunities to make money,kama angeona ametosheka kutafuta pesa nadhan asingetafuta mdhamini mwingne,kuna mambo ni confidential si lazima kila ajue is upon the two parties of the contract.Tuache majungu wakuu,si tunatakiwa kucomement kwny ile product ya wasanii wanaokuzwa na e-bss kama wanamit matarajio yetu au la.
   
 13. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Kaka naona unachanganya madesa, nina wasi wasi na upeo wako, apple zinakuwa assembled china sabab ya cost of productions, china kuna manpower kubwa kwa gharama nafuu compared to america, na sio apple tu hata sony, dell etc... So sijaongelea kufanywa kipande india bali limefanywa lote kuanzia script, locations, storyline na kila kitu refer hiyo video attached.

  Tangazo la BSS lote limefanywa india na sio world class advert lenye complications za kutosha..

  Na pia tunataka tuone kazi za benchmark productions na kiwango chake kabla hatujapeleka tenda za video hapo benchmark..

  Naomba unitajie video au tangazo lililofanywa benchmark miaka ya karibuni ili tujue ufanisi wa hiyo kampuni... Naomba ututajie ili tujue kama kweli kazi wanaweza au la?

  Nimetembea siajabu kuliko wewe na najua dunia inavyokwenda na nchi unazozitaja kote nimeshafika ukiondoa china so hunidanganyi kitu!

  Naomba ujibu kwa hoja na relevant examples kama mimi nilivyo ambatanisha making of the video ya hilo tangazo naomba na wewe utoe mifano halisi kuhusu kazi za benchmark productions miaka ya karibuni.. Maana toka enzi za zali la mentali ya profesa jay benchmark kazi ufanisi hakuna na kazi hazionekani
   
 14. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  I hope its gonna be long day...
  Kwa msaada wa website yao
  http://www.benchmarkproduction.co.tz/aboutus.html

  Huko utakuta list ya Clients wao mimi siwezi jua Benchmarck wamefanya kazi gani so far kwani sina muda wa kuwafuatilia benchmarck but mimi nilikuwa najibu hoja yako kuwa eti wamejiabisha kwa kuwa wamewapa tenda india kwa kila kitu na mimi nikakujibu kuwa katika Today's world hiyo kitu ni cha kawaida sana kwamba kampuni ya Production wanaweza wapa kampuni nyingine uandaaji wa production kila kitu ndio mfano mdogo nikakupa pirates of the carribean vs disney vs jerry bukhleimer

  Hizo nchi wewe kufika sio inshu wala sio tatizo ila kumbuka tu kila mtu akianza kuelezea sehemu alizofika kutakuwa hakukaliki...
  Point yangu ni kuwa wewe kulalamika na kuwalaumu kwanini wametoa tenda kwa kampuni ya nje that was my point na kama unataka kupeleka video yako benchmark peleka kama hutaki nenda india na kama wewe kwakuwa wasema umetembea sana wapelekee tangazo lako Omnicom Group Inc. Pale NY ila angalia tu usiuze nyumba yako (nothing personal)
   
 15. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 160
  wivu wa kijinga tu,walikuomba uwasaidie pesa za tangazo,acheni wivu,watanzania kila mnalalamika,mbona mnaagiza makocha kutoka nje wakat ndani wapo,mbona mnaagiza furniture nje wakat VETA wapo,achen wivu,zantel ndio wanaogaramia na kuamua siyo mama rita
   
 16. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mkuu pokea like mtu
  Unakuta ni mwanaume halafu anaanza kupiga majungu
   
 17. P

  PGR New Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kwani yeye anakupenda?
   
 18. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,557
  Trophy Points: 280
  Kiukweli umeibua changamoto nzuri inayoweza kujibiwa na Rita pekee!!
   
 19. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,557
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu ni swali zuri tu!
   
 20. sili

  sili JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 293
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Kaka hapo umeongea point kubwa sana hebu wajaribu kulisikiliza tena hii making of video(behind the scene) au lugha pia ni tatizo Zantel ndyo aliyedhamini kila kitu na c madam ritha!!
   
Loading...