measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,418
Haya madai yanashangaza..halafu ni kama miaka miwili imepita analalamikia hili swala..kuna ishu hapo chief
Hapo ndipo panaposhangaza mkuu...
Haya madai yanashangaza..halafu ni kama miaka miwili imepita analalamikia hili swala..kuna ishu hapo chief
Sasa imagine kitu kama hiki na bado mtu anatetea. Laiti kama kila mmoja atakuja kushare experience ya Muhimbili au sijui Mwananyamala unaweza kubaki mdomo wazi. Kuna uzembe wa hali ya juu unaendelea kwenye hizi hospitali na hakuna hatua zinazochukuliwa na ukihoji sana watakwambia hawalipwi vizuri. Sasa daktari unaendaje kuhudumia mgonjwa ukiwa umelewa? Ina maana mkuu wake wa Idara hana taarifa au mpaka aumie mtu mwenye jina ndio hatua zichukuliwe? Inakera sanamuhimbili sijakanyagi tena pake ashukuru mungu hawajampasua kichwa.mwezi wa 1 nilienda nikakutana na docta kalewa anataka kunichoma sindano ikabidi niombe kubadilishiwa docta tu akaja kibint kidogo nikaona bora huyo
Duh kwa kweli inasikitisha mpaka mtu unaona hakuna haja ya kujivunia Tanzania.