Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,534
- 30,087
Unataka Nikumiss?
Mwahhh.....
Unataka Nikumiss?
Hata hayo mapazia yana nafuu. Toka ameingia humu ye ana kazi ya kuchunguza ID za watu.. Mda si mrefu atahamia kwako BADILI TABIA
Halafu mwezi ujao tunakutana Brajec ole wako usije.
.......au analipwa kuchunguza?????.
Junia memba? Yu shua au una lako jambo?
Hayo ni maneno tu,
Hata kwenye Boxer yako yapo.
Junia memba? Yu shua au una lako jambo?
Junia memba? Yu shua au una lako jambo?
yaan we mtu una maneno....khaaa!!!
H
hiv kusingekua na misemo kama hii ingekuwaje.?
Namshanga na Shanga zangu.,
duh unazo ngapi naweza ona ??
Kwani siku ile pale Chimbo hukuziona'
au ulikuwa umelewa?