stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,107
- Thread starter
- #61
hahahaha mi ndio refa wakitoa droo unaondoka na refa
mi avantar tu najua mtoto wa kitanga huyoooooo mbwela mbwela
unaingilia kazi za watu ee refa nimetuliia na nazidi kutoa maksii
nshaona dalili ya nani atashinda japokua kuna mmoja anapigwa za usoo zaidi