The problem with you guys you think so low that you always regret. Government is a system, doesn't work like your dukawala reasoning. Smart as they are, Kenyans have seen business opportunity with marketing cashewnut through the booming Alibaba online commodity distribution chain. They are in and making money, perhaps unlike Indians cartels of regular raw cashewnuts buyers. Cynical, as always spinners are in JF sneaking!Halafu baada ya hapo kampuni hiyo kimyakimya tunaipa udalali wa Koroshow zetu, ikishapata mteja na kuziuza itaturudishia pesa zetu na yenyewe itakula Commision yake.
And you have joined the ranksYou aptly named yourself if you don't see the problem.
And you have joined the ranks
Akihutubia kwao wakati huo akiwa waziri wa njia aliwaambia hivi wakati akijibu malalamiko ya njia kukosa lami , " Wakusanye kinyesi chao chote wasilibie bara bara ili iwe mbadala wa lami " Mtu kama huyu atatoa wapi baraka ?
Then akileta nini kitabadilika zaidi ya kutoamini kama usivyoamini sasa! Labda tumwambie mhusika arudie kutamka hata hivyo utaishia kupiga makofi kama utakuwepo kwenye tukioNgumu kumeza...leta ushahidi wa clip au gazeti au chochote kile ili tuamini unachosema au tupe tarehe alizosema hivyo ili tutafute watu wa Chato watupe rejea
Na hii pia haina tofauti na mtu kusema we we lukoma uliwai kusema unashiriki mapenzi ya jinsia moja je, tuamini?Then akileta nini kitabadilika zaidi ya kutoamini kama usivyoamini sasa! Labda tumwambie mhusika arudie kutamka hata hivyo utaishia kupiga makofi kama utakuwepo kwenye tukio
Are you standing as a point of reference where by everybody must see what you see?Nope; for a simple reason that can clearly see the problem which you don't.
Mkuu tafadhali sana naomba mm na wengne wenye uhaba wa maarifa kuhusu hili suala utujuze. Tatzo liko sehemu gani ? Kwa nn watu wanapiga kelele? Mwenye taarifa plzMzee,
Naona hauko informed. Siwezi kukulaumu.
Mpaka unaona tunapiga kelele juu ya hili ujue kuna tatizo kubwa sehemu.