Madalali wa Korosho zetu, Indo Power waanza kusaka soko kupitia Alibaba!


Ex Spy

Ex Spy

Senior Member
Joined
Jan 15, 2007
Messages
152
Likes
246
Points
60
Ex Spy

Ex Spy

Senior Member
Joined Jan 15, 2007
152 246 60
Pengine tutaonekana tuna wivu, lakini penye ukweli na usemwe: Serikali ya Magufuli hapa imeingia mkenge na imeingia kichwa kichwa.

Unaweza kuona wanavyotangaza hapa: Source raw cashew nuts Outturn 49 -52 on m.alibaba.com au Raw Cashew Nuts Outturn 49 -52 - Buy Outturn 49-52 Organic Dry Product on Alibaba.com na profile yao ipo hapa Company Overview - Indo power solutions

Angalia details hizi kwa mujibu wa Alibaba:

screenshot-2019-02-10-at-22-26-07-png.1019349


Uwezo wa Kampuni - Research & Development team LESS THAN 5 people:

screenshot-2019-02-10-at-22-28-23-png.1019353


Lakini, angalia production capacity yao ni ipi na SOMA wao wanasemaje kuhusu 'Cooperation Factory' yao:

screenshot-2019-02-10-at-22-27-57-png.1019356


Madalali hawa, wanamtumia kijana “Nash Ngare” ambaye profile yake LinkedIn inaonekana kama hivi https://www.linkedin.com/in/nash-ngare-81870369/

Angalia kwenye details za profile yake amejiunga na kampuni lini:
screenshot-2019-02-10-at-22-19-29-png.1019338

screenshot-2019-02-10-at-22-19-39-png.1019337


Again, huyu naye ni kundi moja na kina Brian Mutembei; ni kijana wa Ruto

screenshot-2019-02-10-at-22-38-27-png.1019369
 
Sophist

Sophist

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
3,907
Likes
2,391
Points
280
Sophist

Sophist

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
3,907 2,391 280
Halafu baada ya hapo kampuni hiyo kimyakimya tunaipa udalali wa Koroshow zetu, ikishapata mteja na kuziuza itaturudishia pesa zetu na yenyewe itakula Commision yake.
The problem with you guys you think so low that you always regret. Government is a system, doesn't work like your dukawala reasoning. Smart as they are, Kenyans have seen business opportunity with marketing cashewnut through the booming Alibaba online commodity distribution chain. They are in and making money, perhaps unlike Indians cartels of regular raw cashewnuts buyers. Cynical, as always spinners are in JF sneaking!
 
vipik2

vipik2

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
1,418
Likes
283
Points
180
vipik2

vipik2

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2011
1,418 283 180
Akihutubia kwao wakati huo akiwa waziri wa njia aliwaambia hivi wakati akijibu malalamiko ya njia kukosa lami , " Wakusanye kinyesi chao chote wasilibie bara bara ili iwe mbadala wa lami " Mtu kama huyu atatoa wapi baraka ?
Ngumu kumeza...leta ushahidi wa clip au gazeti au chochote kile ili tuamini unachosema au tupe tarehe alizosema hivyo ili tutafute watu wa Chato watupe rejea
 
L

lukoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Messages
1,648
Likes
1,002
Points
280
Age
41
L

lukoma

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2013
1,648 1,002 280
Kama hili la korosho hajajifunza, hawezi jifunza tena na hatobadilika kamwe!
 
L

lukoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Messages
1,648
Likes
1,002
Points
280
Age
41
L

lukoma

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2013
1,648 1,002 280
Ngumu kumeza...leta ushahidi wa clip au gazeti au chochote kile ili tuamini unachosema au tupe tarehe alizosema hivyo ili tutafute watu wa Chato watupe rejea
Then akileta nini kitabadilika zaidi ya kutoamini kama usivyoamini sasa! Labda tumwambie mhusika arudie kutamka hata hivyo utaishia kupiga makofi kama utakuwepo kwenye tukio
 
M

Munjombe

Member
Joined
Dec 10, 2018
Messages
58
Likes
36
Points
25
M

Munjombe

Member
Joined Dec 10, 2018
58 36 25
nikikumbuka namna serikali zilizopita zinanyosemwa ovyo na hili lililofanyika kwenye koroshow naona pengine tuliko toka tunaufadhali zaidi maana kwa dunia ya leo na tanzania ya leo iliyojaa internet kila mahala huwezi tegemea serikali yetu iingie mkataba na kampuni yenye mashaka kama hii.Vipi kesho tukijakuambiwa ilikuwa inapata pesa toka kwenye makaundi yasiyofaa au imetakatisha fedha je nchi haitaingia kwenye kashifa.Sitaki kuuingia kwenye mtego wa kusema hawawezi lipa wanaweza kulipa lakini je pesa ya ni halali au ni yale yale na baade tunaanza kulia lia kama tunavyolia na tanzanite mara nchi jirani ndiyo inauza sana tanzanite kuliko nchi yetu,tunaharibu brand nzuri kwa uroho na uchu wa madaraka tu.NAWAZA TU KWA SAUTI sijui tumerogwa na nani sisi
 
chuma cha reli

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
2,146
Likes
930
Points
280
chuma cha reli

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
2,146 930 280
Kikubwa ni kuleta ushahidi kamili wa icho unachodai sio kuja na habari za kufikirika, kuhusu kutumia Ali baba ilo ni jambo la kawaida kwa wenzetu tena ni njia ya kutanua masoko na kujitangaza pia kwa biashara inayoendelea so sioni logic ya kusema eti ni madalali wakati sisi tumeshauza

Kweli nimeamni wakisamvu wakisamvu tu akibadilisha mboga mapupuSent using Jamii Forums mobile app
 
chuma cha reli

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
2,146
Likes
930
Points
280
chuma cha reli

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
2,146 930 280
Then akileta nini kitabadilika zaidi ya kutoamini kama usivyoamini sasa! Labda tumwambie mhusika arudie kutamka hata hivyo utaishia kupiga makofi kama utakuwepo kwenye tukio
Na hii pia haina tofauti na mtu kusema we we lukoma uliwai kusema unashiriki mapenzi ya jinsia moja je, tuamini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
1,863
Likes
240
Points
160
M

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2013
1,863 240 160
kwani shid nn hap
 
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
838
Likes
723
Points
180
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
838 723 180
Nope; for a simple reason that can clearly see the problem which you don't.
Are you standing as a point of reference where by everybody must see what you see?
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,205
Likes
6,240
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,205 6,240 280
Ndugu Zangu Ninyi Mniite Majina Yote Lakini Tanzania Iende Mbele Siyo Kurudi Nyuma
 
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
4,754
Likes
5,452
Points
280
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
4,754 5,452 280
I LOOOOVE INTERNET haki kweli!

Karibu anafika kwenye ule UKUTA mreeeefu hakuna pa kutokea
Ukurupukaji wa mtu mmoja unaliingizia Taifa hasara kiasi hiki!??
 
Ahmad Abdurahman

Ahmad Abdurahman

Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
99
Likes
194
Points
60
Ahmad Abdurahman

Ahmad Abdurahman

Member
Joined Mar 5, 2016
99 194 60
Mzee,

Naona hauko informed. Siwezi kukulaumu.

Mpaka unaona tunapiga kelele juu ya hili ujue kuna tatizo kubwa sehemu.
Mkuu tafadhali sana naomba mm na wengne wenye uhaba wa maarifa kuhusu hili suala utujuze. Tatzo liko sehemu gani ? Kwa nn watu wanapiga kelele? Mwenye taarifa plz
 

Forum statistics

Threads 1,262,487
Members 485,588
Posts 30,123,570