Madalali njooni hapa.

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,319
4,089
Nataka chumba kati ya maeneo yafuatayo; tabata bima, magengeni,shule, aroma.
Budget yangu ni kati ya 50k mpka 80k.
Ukiwa serious njoo pm.
 
Back
Top Bottom