Madaktari wote kurudi kazini 10/Feb/2012 asubuhi

Hivi Madaktari wa Visiwani Zanzibar na Pemba waligoma? na Vipi Wapemba na Wazanzibar wanaofanya kazi Muhimbili?

Kwahiyo Serikali ya Dr. (Rais wa Zanzibar) ni kiboko haina matatizo kwasababu Udokta wake ni wa kusomea; ya bara Udokta wa kupewa hakuandika THESIS, so kuna upungufu wa kuwaelewa matakwa yao

Well, Kwanini wasibadilishane basi Rais wa Zanzibar Achukue Tanganyika; Rais wa Tanganyika achukue Ndege yake na Aende Zanzibar kuwa Rais Wa nchi hiyo... IS IT FAIR? WILL IT GOING TO BE PRODUCTIVE? on BOTH ENDS?
 
Kama watarudi kesho basi watakuwa wamechesha!! Unless kama walitaka kuona sura ya PM na kusikia kuwa Brandina siyo Boss wao tena!! Busara inahitajika hapa!!

kumbuka kwamba tuliwin public suport,kila mtu akawa analalamikia kuhusu serikali kuusikiliza umma wa madaktari japokuwa wao wenyewe wanateseka. Tusingerudi kazini na wananchi wamesikia kwamba kamati inafanya kazi ndani ya wiki mbili wasingetuelewa. Wangetugeuka na serikali ingepata pa kupumulia. Kumbuka kuwa na baada ya wananchi kupiga kelele kila angle ndo serikali ilistuka. Tumeahirisha mgomo,hatujausitisha.
 
Enyi mliosahau tayari walikotutoa hawa walimu tunaowaacha wadhalilike katika jamii kwa kisingizio cha 'UALIMU NI WITO' wakati wao MAFISADI wanakula na kusaza kila kitu ndani ya nchi hii, basi bora ukatupe jicho na kufikiria akini mwako kwamba pengine Mtoto wa Mkulima naye alitoka hapa.

Benno Ndullu vile vile hakika hutojizuia kujiuliza swali kwamba ni kwa nini kweli Mwalimu adhalilike kwa kelele za akina 'Prof' Majimarefu kule bungeni??????????????????????????


_shulembuyuuuuu.jpg


Mama Magreth Sitta hivi kweli unawakumbuka waalimu wenzio waliowahi kukuamini na kukupa wewe nafasi ya kuwa rais wao katika nchi hii. Tunasubiri kuja kuona bajeti ya wizara ya elimu hapo mwezi wa 6 pamoja na mambo mengine na jinsi gani wabunge watakavyojizungusha kinafiki kulipitisha.

mkuu mbona unalalama sana, kwani vp? Nyie si mlimkata mtama yule mtetezi wenu mkoba pale Diamond?
 
Mshahara wa madaktari milioni 3; polisi na utaalam wao wa mabomu ya machozi.... laki moja! ha! ha! ha!!!!
 
Mshahara wa madaktari milioni 3; polisi na utaalam wao wa mabomu ya machozi.... laki moja! ha! ha! ha!!!!

tena hawa police leo wametumwa kukamata wanaharakati,yaani hawa wakidai haki yao wataishia kuzomewa na wananchi.
 
Kweli mkuu ni tatizo sana kuandika habari, hasa mtu akiwa na inclination yake moyoni.
Madaktari walikuwa na matakwa yao, yametimizwa(au kuahidiwa), sasa wakirudi kazini ndio kunyoosha mikono?
Nyongeza ya posho ya kuitwa kazini kwa dharura, kupewa nyumba, ni baadhi ya maafikiano yaliyowarejesha kazini madaktari.
 
Hizo nazo wala si salaam njema kwa wakubwa wetu wanaolindwa na polisi ambaye analipwa mshahara kiduchu kiasi hicho; hi hatari tupu kwao siku hawa wenzetu wakichagua tu - ni nani angetamani kuona hilo likitokea?

Mshahara wa madaktari milioni 3; polisi na utaalam wao wa mabomu ya machozi.... laki moja! ha! ha! ha!!!!
 
Waalimu kulipwa kimafungu mafungu tu katika baadhi tu za halmashauri zetu nchini ni jambo ambalo halikubaliki hata kidogo.

Wizara ya Elimu, Hazina na Ofisi ya Waziri Mkuu tunawasubirini maelezo juu ya malipo ya walimu kooooote nchini. Laa sivyo JF wala hatujanyamaza bado hapa!!!!!!!!!!!!!


Hamisi Mwesi, Dodoma
HALMASHAURI ya Manispaa ya Dodoma, imetumia Sh54 milioni kulipa posho za walimu 133 wa shule za sekondari waliopangiwa kufanya kazi katika halmashauri hiyo.

Juzi walimu hao wapaya waliandamana kwenda katika viwanja vya bungeni kushinikiza kulipwa posho hizo.

Jana mwandishi wa habari hizi, alishuhudia mkusanyiko wa idadi kubwa ya walimu hao katika ofisi za elimu ya sekondari za halmashauri ya manispaa hiyo, wakisubiri kulipwa fedha zao.

Kulipwa kwa posho hizo ni utekelezaji wa ahadi iliyokuwa imetolewa na uongozi wa manispaa hiyo ya kulipwa walimu fedha hizo jana.

Kaimu Ofisa Elimu wa Shule za Sekondari katika Manispaa ya Dodoma, Suma Mwampulo, alisema fedha hizo ni kwa ajili ya posho ya kujikimu kwa siku saba na nauli walizotumia kutoka makwao kwenda katika manispaa hiyo.

"Tumetumia zaidi ya Sh54 milioni kuwalipa walimu hawa 133 posho zao za kujikimu kwa siku saba na nauli walizotumia kutoka makwao kuja Dodoma," alisema Mwampulo.

Alisema walimu hao wamepangwa katika shule mbalimbali za manispaa hiyo na kwamba wameajiri hivi karibuni, katika jitihada za Serikali za kupunguza tatizo la upungufu wa walimu katika shule za sekondari hasa za kata.

"Tunaishukuru serikali kwa kusikiliza kilio chetu lakini bado kuna upungufu katika baadhi ya shule tunazidi kuiomba Serikali iajiri walimu zaidi ili kumaliza kabisa tatizo la walimu nchini, "alisema Mwampulo
Pia aliwataka walimu hao kuwa wavumilivu katika utendaji wao na kukubali kuwa na moyo wa kujitolea katika kuitumikia nchi yao.


_shulembuyuuuuu.jpg


Mama Magreth Sitta hivi kweli unawakumbuka waalimu wenzio waliowahi kukuamini na kukupa wewe nafasi ya kuwa rais wao katika nchi hii. Tunasubiri kuja kuona bajeti ya wizara ya elimu hapo mwezi wa 6 pamoja na mambo mengine na jinsi gani wabunge watakavyojizungusha kinafiki kulipitisha.
 
Hizo nazo wala si salaam njema kwa wakubwa wetu wanaolindwa na polisi ambaye analipwa mshahara kiduchu kiasi hicho; hi hatari tupu kwao siku hawa wenzetu wakichagua tu - ni nani angetamani kuona hilo likitokea?
Serikali huwa inawapuuza walimu, kwa madaktari imenywea, natamani na wale jamaa wenye nguo za mabaka mabaka wagome.
 
Kugoma au kuandamana kwa mtu au kikundi chochote kila wala si sifa au mtu kupendezewa nalo ila tu shida zinavyong'ata na kadriki ufisadi unavyopaa serikalini huku viongozi wetu wakiendelea kujizibia masikio ndipo watu hujikuta huko.

Serikali huwa inawapuuza walimu, kwa madaktari imenywea, natamani na wale jamaa wenye nguo za mabaka mabaka wagome.
 
Back
Top Bottom