Madaktari wanavyowafanya wake zenu

Best hukusikia itakuwa mwaka jana, mgonjwa aliyepooza yupo hosp muda mrefu haongei wala kujisogeza huko USA na alikuwa na Dr wake, walikuja gundua siku anajifungua [emoji24]
 
Acha nikae kimya tyuuh, kuna ma Dr wengine ni mafedhuli kutwa kuharibu watoto watu hasa wa kiume,

Kuna hospital x ipo wilaya x mkoa wa pwani, kuna Dr wa hapo kazi yake ni kuharibu watoto wa kiume wanaokuja hospital hapo kupata matibabu hasa wa secondary.

Haya mambo yapo kweli, sio ya kupuuzwa.
 
Yaani ukiona hiyo habari imetoka nje tambua huyo mtu ni tabia yake, kuna wengine huona aibu kutoa habari hizo nje
 
Best hukusikia itakuwa mwaka jana, mgonjwa aliyepooza yupo hosp muda mrefu haongei wala kujisogeza huko USA na alikuwa na Dr wake, walikuja gundua siku anajifungua [emoji24]
Hiyo niliona na hzo ni rare kesi ambazo hutokea tena KWA kujiiba Ila huduma ikitolewa lazima Kuna wasaidizi Hadi watatu, na pia hospital kubwa binafsi Zina camera kila corner so ni difficult. Hafu k zamtu kujifungua au kusafishwa hazitamanishi hata wallah. Labda mtu akishapona waendeleze huko nje.
 
Siwezi bisha...linawezekana..but mazingira Mengi hayaruhusu...
Bu mtu akiamua lake atalifanikisha tyu
 
Umemaliza haswaaaaaah.
Haya mambo yapo, ila watu huona aibu kuyasema, mie kwa masikio yangu huyo dada halafu naye alikuwa nurse hosp nyingine alifanyiwa na Dr ila alimwambia rafiki yake ambaye ni dada yangu akawa anasikitika tu Dr mwenyewe anaheshimika kweli mmm
 
Haaa haa wao wanajua ambacho huwa wanakitamani [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Msimbishie wapo wanaofanya hivyo, mie kuna Dr nilikuwa namfahamu vizuri, watu walikuwa wanamlalamikia sana japo alikuwa Dr mwenye elimu yake nzuri kwa ajili ya kusaidia wanawake, kabla ya kazi alikuwa anawapa dawa mtu analala anafanya yake kabisa
😀😀 Wanatetea madoctor wenzao jamani
 
Kimsingi unazungumza kitu usichokuwa na ushahidi nacho.
 
Na ukiwa hospital ukiona dr analeta za tofauti una omba nurse hawepo hapo
Sio rahisi kuomba nurse..inategemea unafanya Nini?...Sasa unaenda kwa gynaecologist...aanataka kuangalia kitu...utamdai nesi awepo.

Tunaamini madoctor kuwa wanajua wanachokifanya...na kuwa wanaethics..

But je wewe ofisini kwako unafuata Ethics za kazi yako?....
Watakuwepo madoctor wabaya...wasio na ETHICS but SI wengi

Pia
 
Nawewe Ni daktari?
 
Ungewawekea kapicha labda wangekuelewa kipenzi 😀😀
 
[emoji3][emoji3] Wanatetea madoctor wenzao jamani
Mie familia yangu wapo kibao Dr & manesi mwingine Dr kamaliza mwaka 1, lazima tuwaambie hizo tabia sio nzuri
 
Kweli kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake....wacha na sie malecturers tujilie vi first year bwana.
 
Haya mambo yapo, ila watu huona aibu kuyasema, mie kwa masikio yangu huyo dada halafu naye alikuwa nurse hosp nyingine alifanyiwa na Dr ila alimwambia rafiki yake ambaye ni dada yangu akawa anasikitika tu Dr mwenyewe anaheshimika kweli mmm
Kabisaaaa yaan yapo haya mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…