Madaktari wanavyowafanya wake zenu

Tobaaaaaaah hadi maiti? Lol
 
Madaktari & Waganga wa kienyeji wanagonga sana wake za watu (wanawake kwa ujumla) Tena wanawagonga kizembe kweli.

Nyie bisheni tu ila ukweli ni WANAWAGONGA SANA WANAWAKE

NB: Maeneo ya kazi.
 
That is so unproffesional, in and all, kila hospitali imeweka taratibu ambazo lazima daktari azifate, kuna hospitali daktari mwabaume haruhusiwi kumuatend mgonjwa bila nurse kuwepo, na tangazo limewekwa kabisa kwenye mlango wa daktari na ndani ya chumba cha daktari

Halafu hospital nyingi za private wamefunga camera kwa hiyo madaktari wanakua waoga

Siamini kama daktari anaweza kumla mgonjwa ndani ya chumba cha daktari unless uniambie wanapeana namba wanarnda kulana hiko nje na sio ndani ya hospitali
 
Nenda vituo vya afya na dispensary mbalimbali,watu wanakulana vyumbani,na inaonekana ni kawaida tu.
Mi nimekaa kotazi za watumishi wa afya,kesi kibao huwa zinakuwepo za hawa Clinical officers kutembea na wagonjwa au wake za watu maofisini.
Mlango unafungwa,mtu analiwa,maisha yanaendelea.
Imani ya daktari hawezi kumla mgonjwa,inafanya watu wengi wakae nje na kurelax,kumbe mtu analiwa ndani.
Tuwe tunauliza hawa wadada wanaopata ujauzito na kwenda kuwasihi madaktari wawasaidie,watasema wanaliwaga wapi.
Madaktari wanafunzi tu wanawala,unadhani hizo tabia hawaendi nazo makazini.
CAMERA nyingi ZINAKWEPWA tu.
 
Kuna mzee pale Massana Hospital nadhani alishafariki alikuwa anawatafuna sana..Ushuhuda ninao
 
Hayo ya kusafishana k siyajui, ila kuna daktari mmoja alikuwa anawapa dawa za usingizi afu anakula mzigo mshenzi sana ila walisha mtimua kazi
 
Zaidi ya hao wagonjwa, Kazi ya Udaktari kwa mwanamke au Nurse ni hatari Zaidi kuliko hao wagonjwa.

Asilimia kubwa ya Madaktari wakike na Manurse wakike wanaliwa au wameshwahi kuliwa at some point katika Maisha yao na madaktari wa kiume.
Nahisi mwenye mke ambaye ni Daktari au Nurse yupo kwenye hatari Zaidi.
 
Na ni muongozo wa wizara ya afya kuwa kumu attend mgonjwa lazima kuwe na nurse wa jinsia tofauti na nimeshuhudia hii hospital tofauti
 
Na sisi wagonjwa tunaokula madaktari na manesi wakati tukiwa tunaumwa je tunaruhusiwa ku comment??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeaaaah tena unatakiwa utoe ushuhuda hapa.
 
Ndio maana tunasema watu wenye na wasio na weledi wapo kwenye fani zote sio madaktari pekee, umesema vyema hata viongozi wa dini wapo, cha msingi ni kila mtu kufanya kazi kwa weledi .
 
Hao wake zenu nao waache kujilengeisha kwa doctors.
 
Na ni muongozo wa wizara ya afya kuwa kumu attend mgonjwa lazima kuwe na nurse wa jinsia tofauti na nimeshuhudia hii hospital tofauti
Thanks cariha maana hii mada imenichanganya na najikuta siamini kama inawezekana daktari kutekeleza uzinzi ndani ya hospitali na mgonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…