TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,080
Kwa kauli hizi lazima wewe utakuwa ulikuwa unaingia na majuche, simbi, ama desa kwenye chumba cha mtihani. Aliyefaulu bila vikwazo hawezi kudharau fani ya mwingine...!.... unafikiri kusoma medicine ni kama kusoma human resource , lazima serikali iweke motivation watu wasome hizo kozi nakuhakikishia watu watasoma na madegree yao watakaa na vyeti Gheto alaff watafte ajira mbadala
========
Tunahitaji madaktari wenye wito, walimu wenye wito, na kada nyingine hivyo hivyo. Ukiona huyo hataki kuumia kwa muda ili aokoe maisha ya mwingine ujue huyo hana wito.