Madaktari wa siku hizi we acha tu

Madaktari wa siku hizi we acha tu

mchumia tumbo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
1,459
Reaction score
476
431740_367039303381665_177519931_n.jpgkwa staili hii wanyonge watapona
 
Serikali iliwaambia madactor kama hawataki kufanya kazi serikalini waende kwenye hospital binafsi, so wamefungua hospital binafsi ila wame-generate idea ya serikali badala ya kuacha kazi wao wanakuja kutafuta wateja kwenye hospital za serikali na kuwatibia kwenye ofisi zao binafsi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Masoud Kipanya anawatia presha vibosile, ukurasa wa kwanza kuangalia ni huo wa katuni ya Masoud kujua kawachongea vipi kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom