ntawi hussein
Member
- Apr 8, 2018
- 35
- 15
Nna tatzo la meno ya mbele yameoza so daktari aliniambia tofauti na kuyatoa ni bora kuweka crown,so nahitaji kufahamu kiundani zaidi kuhusu hyo crown inawekwaje faida zake madhara yake na gharama yake na kwa waliowekewa wamekutana na changamoto gani ktk kutumia hayo meno yenye crown,