Madaktari wa meno nahitaji kufahamu kuhusu DENTAL CROWN

ntawi hussein

Member
Apr 8, 2018
36
95
Nna tatzo la meno ya mbele yameoza so daktari aliniambia tofauti na kuyatoa ni bora kuweka crown,so nahitaji kufahamu kiundani zaidi kuhusu hyo crown inawekwaje faida zake madhara yake na gharama yake na kwa waliowekewa wamekutana na changamoto gani ktk kutumia hayo meno yenye crown,
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,255
2,000
Crown inawekwa kwenye jino bovu kama unavyovaa kofia kichwani. Crown inafanya kazi badala ya enamel.
Inaweza kudumu kwa miaka 20 baada ya hapo unabadilisha. Inatengenezwa kwa dhahabu mara nyingi.
 
manigum27

Member
Mar 24, 2017
57
125
Crown ni sawa na kusema Kofia....
Jino ambalo ni bovu na ambalo halina maumivu huchongwa na kutengenezewa jino ambalo linafanana na meno mengine,
Na kama lina maumivu huuliwa mizizi yake na kuveshea kofia kwa juu.
Zipo crown za material ya Ceramic, Zirconia na Precious metal
Gharama inategemeana na sehemu
Kwa msaada zaidi waweza nitafuta Inbox
Kwa contact za madaktari.
Mm ni Mmoja wapo wa watu ambao tunatengeneza Meno ila tunashirikiana na Madaktari kutoka clinic mbalimbali kwa Dar na Mikoani....Arusha na Dodoma.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,255
2,000
Bado sijaelewa,unaweza kunielezea zaidi mana nahitaji kufahamu zaidi kabla sijafanyiwa
Dentist anakupima size ya crown yako, unang’ata kitu kama chewing gum. Crown unapokuwa tayari unasafishwa kwanza kuondoa bacteria, unavalishwa crown.
Hutakiwi kula kitu kwa masaa sita baada ya surgery. Unaweza kusikia maumivu baada ya hapo. Maumivu yakiendelea kwa siku tatu baada ya surgery ni dalili ya infection. Rudi kwa dentist ikiwezekana ufanyiwe root canal
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,255
2,000
Crown ni sawa na kusema Kofia....
Jino ambalo ni bovu na ambalo halina maumivu huchongwa na kutengenezewa jino ambalo linafanana na meno mengine,
Na kama lina maumivu huuliwa mizizi yake na kuveshea kofia kwa juu.
Zipo crown za material ya Ceramic, Zirconia na Precious metal
Gharama inategemeana na sehemu
Kwa msaada zaidi waweza nitafuta Inbox
Kwa contact za madaktari.
Mm ni Mmoja wapo wa watu ambao tunatengeneza Meno ila tunashirikiana na Madaktari kutoka clinic mbalimbali kwa Dar na Mikoani....Arusha na Dodoma.
Tuwekeeni jukwaani wote tuelimike huu uchoyo wa inbox huu
 
manigum27

Member
Mar 24, 2017
57
125
Crown ni sawa na kusema Kofia....
Jino ambalo ni bovu na ambalo halina maumivu huchongwa na kutengenezewa jino ambalo linafanana na meno mengine,
Na kama lina maumivu huuliwa mizizi yake na kuveshea kofia kwa juu.
Zipo crown za material ya Ceramic, Zirconia na Precious metal
Gharama inategemeana na sehemu
Kwa msaada zaidi waweza nitafuta Inbox
Kwa contact za madaktari.
Mm ni Mmoja wapo wa watu ambao tunatengeneza Meno ila tunashirikiana na Madaktari kutoka clinic mbalimbali kwa Dar na Mikoani....Arusha na Dodoma.
Moja wapo ya Kazi zetu.
IMG-20180223-WA0008.jpg
IMG-20180329-WA0031.jpg
 
ntawi hussein

Member
Apr 8, 2018
36
95
Crown ni sawa na kusema Kofia....
Jino ambalo ni bovu na ambalo halina maumivu huchongwa na kutengenezewa jino ambalo linafanana na meno mengine,
Na kama lina maumivu huuliwa mizizi yake na kuveshea kofia kwa juu.
Zipo crown za material ya Ceramic, Zirconia na Precious metal
Gharama inategemeana na sehemu
Kwa msaada zaidi waweza nitafuta Inbox
Kwa contact za madaktari.
Mm ni Mmoja wapo wa watu ambao tunatengeneza Meno ila tunashirikiana na Madaktari kutoka clinic mbalimbali kwa Dar na Mikoani....Arusha na Dodoma.
Nashkuru kwa maelezo yako
 
ntawi hussein

Member
Apr 8, 2018
36
95
Dentist anakupima size ya crown yako, unang’ata kitu kama chewing gum. Crown unapokuwa tayari unasafishwa kwanza kuondoa bacteria, unavalishwa crown.
Hutakiwi kula kitu kwa masaa sita baada ya surgery. Unaweza kusikia maumivu baada ya hapo. Maumivu yakiendelea kwa siku tatu baada ya surgery ni dalili ya infection. Rudi kwa dentist ikiwezekana ufanyiwe root canal
Asante nimeelewa
 
Rocky City

JF-Expert Member
Nov 22, 2017
788
1,000
Dentist anakupima size ya crown yako, unang’ata kitu kama chewing gum. Crown unapokuwa tayari unasafishwa kwanza kuondoa bacteria, unavalishwa crown.
Hutakiwi kula kitu kwa masaa sita baada ya surgery. Unaweza kusikia maumivu baada ya hapo. Maumivu yakiendelea kwa siku tatu baada ya surgery ni dalili ya infection. Rudi kwa dentist ikiwezekana ufanyiwe root canal
Root canal wanafanya kitu gani hapo dada na ni bei gani mana na mm nina jino moja tena reception kabisa halifanyi kazi nawaza kulitoa lakini mhm balaa sana naweza pata nn cha kufanya??
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,255
2,000
Root canal wanafanya kitu gani hapo dada na ni bei gani mana na mm nina jino moja tena reception kabisa halifanyi kazi nawaza kulitoa lakini mhm balaa sana naweza pata nn cha kufanya??
Root canal ni kusafisha ndani ya jino bovu kuua bactria baadae linazibwa kwa risasi au crown
 
ntawi hussein

Member
Apr 8, 2018
36
95
Root canal ni kusafisha ndani ya jino bovu kuua bactria baadae linazibwa kwa risasi au crown
Ni kutoa mzizi wa jino yani jino linakuwepo tu lakini halina mawasiliano na mwili haliwezi kuuma,Mimi nimeshafanyiwa root canal jino moja lilikuwa limeoza linauma halafu la mbele so daktari amenishauri nisilitoe nitolewe mzizi wa jino halafu niweke crown litakuwa kama zamani,nilikuwa nahitaji maelezo kuhusu crown coz next week ndo tarehe yangu ya kuwekewa hyo crown nashkuru nimepata idea kidogo
 
Bashatu

JF-Expert Member
Nov 8, 2015
840
1,000
Hapa naweka kijiwe. Mi nina meno machafu, moja linauma na nilitoa jino moja gego, hivyo natafunia upande mmoja.
Nategemea nikipata muda ntaenda kwa ajili ya kusafisha meno yote, kutibu jino linalouma na gego sijui lifanyweje, sasa mleta maada kaomba kama kuna madhara na changamoto za hiyo process
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom