DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mm MD siwaamin sana huwa naenda kwa MMED angalau kuna uhakika kidogo
 
Huko hospital kuna vituko vingi mno. Hasa madaktari vijana, ni hatari. Bora vibakie vyuo vichache makini otherwise tutaisha.
 
Aisee
 
Hii nchi kla mahali ni shida tu. Kunahitajika system nzima iwe overhaul tuanze upya na sheria kali za kumwadibisha kila mtu anyekosea otherwise busness as usual na uko mbele tunaona giza tu.
 
Shida ilianzia kwenye kaneno wanakaita Distinction hapo ndiyo hata vilaza walienda Muhimbili .

Hilo ni shida kwa wagonjwa lakini serikali itukumbuke na sisi tunaofanya kazi na hao vilaza kiukweli wanatukata mood kinyama .

Nimebahatika kufanya kazi na mzee mmoja alisoma udaktari nje ya nchi though ni chapombe sana ila linapokuja suala la mgonjwa aisee utajua kuwa hakika nimekutana na daktari .

Mimi kwasasa napenda nifanye kazi na wazee tu kwenye panel zangu zote sio hawa vijana kuna muda wanaleta ujuaji mpaka kwenye vyumba vya emergency alafu ukiangalia anachokitetea ni upuuzi mtupu .

God have a mercy ndugu watanzania tafuteni pesa kiukweli hospitali zetu zimevamiwa na vijana wa generation Z

Iam out

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli, ma Dokta wengi vijana hawafanyi physical analysis, wanachukulia mambo kirahisi sana
 
Totally doomed....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…