Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
kwasababu tuko makini sana kuhesabu tarehe ili tuzae watoto wetu kwa uzazi wa mpango, tunatumia kalenda, hatutumii kondomu wana vidonge. mara nyingi akifika siku hizo, anakuwa mkali, nisaidieni ni tatizo au ndo hormon? au nini jamani.
bila shaka anakuwa mkali kwa sababu anatamani kitu nawe haumpi hivi mwasho unamnyima raha, ndio maana umekuwa mume wake ili umfae wakati wa tabu na raha hizi ndio zile nyakati za tabu kwa mke wako, mfariji kwa kumpa haki yake...Jamaniee, mimi na waifu wangu tunaishi vizuri sana. kwa kawaida, kwetu sisi tuliooa ni kawaida kujua kila kitu kinachoendelea kwa wake zetu. mara nyingi mke wangu akiwa katikati ya mwezi, yaani siku y akumi na tatu au ya kumi na nne baada ya bleed, siku hizi zote huwa anakuwa mkali kishenzi. tunaweza kugombana hata kwa kijiko au hata kiti tu. mida hii kwa wale wanandoa mnajua kuwa ndo yai huwa limeiva na limeteremka tayari kusubiri mbegu, yaani 13-14 days after the cycle.
madaktari naomba mnisaidie, hivi hii ni kwanini? au kama yai limeiva wanawake wote wanakuaga wakali hivyohivyo? au ni kwangu tu. yaani siku zote huwa namvumilia tu kwasababu mida hiyo huwa ndo siku zake za kuchukia na kuwa mkali katika kila kitu. na nina uhakika ni tarehe hizo,kwasababu tuko makini sana kuhesabu tarehe ili tuzae watoto wetu kwa uzazi wa mpango, tunatumia kalenda, hatutumii kondomu wana vidonge. mara nyingi akifika siku hizo, anakuwa mkali, nisaidieni ni tatizo au ndo hormon? au nini jamani.
Jamaniee, mimi na waifu wangu tunaishi vizuri sana. kwa kawaida, kwetu sisi tuliooa ni kawaida kujua kila kitu kinachoendelea kwa wake zetu. mara nyingi mke wangu akiwa katikati ya mwezi, yaani siku y akumi na tatu au ya kumi na nne baada ya bleed, siku hizi zote huwa anakuwa mkali kishenzi. tunaweza kugombana hata kwa kijiko au hata kiti tu. mida hii kwa wale wanandoa mnajua kuwa ndo yai huwa limeiva na limeteremka tayari kusubiri mbegu, yaani 13-14 days after the cycle.

...na nina uhakika ni tarehe hizo,kwasababu tuko makini sana kuhesabu tarehe ili tuzae watoto wetu kwa uzazi wa mpango, tunatumia kalenda, hatutumii kondomu wana vidonge. mara nyingi akifika siku hizo, anakuwa mkali, nisaidieni ni tatizo au ndo hormon? au nini jamani.
Kwanza naona kuna tatizo la jinsi unavyohesabu siku, kwa kawaida kalenda inaanza pale mwanamke anapoanza menstruation (bleed) na sio anapo maliza bleeding,hata ivyo hiyo day 13,14 ni ideal kwa watu wenye mzunguko wa siku 28 kamili. Kwa sababu kuna wanawake wanye mzunguko wa siku 24,25..........32,hadi 35 na ovulation inabadilika kulingana na mzunguko wake.
Kwa binadamu kawaida anapokuwa kwenye ovulation huwa anahamu sana ya kuingiliwa, hivyo pengine ukali wa mwenzio ni njia anayotumia kama contraception kwa sababu hamtumii njia nyingine anpokuwa kwenye 'ovulation'.
Ovulation occurs about 14-16 days before women have their period (not 14 days after the start of their period). source Menstrual Cycles: What Really Happens in those 28 Days?!
Jamani, mimi najua kuwa kalenda huwa naanza kuhesabu siku ya kwanza ni ile anayoanza kubleed. yaani anapoanza kubleed ndio siku ya kwanza, ukihesabu hadi hapo, ukifika siku kuanzia ya kumi na moja hadi kumi na tano, ndizo siku za yai kuwa katikati approximately. ndio maana nasema siku 14 baada ya bleed. sasa wewe hujaelewa nini? mbona hata ulichoongea ni kilekile. yaani ukianzia kuhesabu siku ile ya bleed ndo ya kwanza, zile siku utakazohesabu si ndo utaziita siku baada ya bleed? au nakosea?
asanteni kwa ushauri wenu.