Madaktari naomba msaada kuhusu ngozi

Avictown

Member
Jan 16, 2018
98
56
Naomba msaada juu ya hili tatizo la wale Dada zetu waliotoboa masikio lakini wakaota nyama kwenye masikio yao. Je kwa operation, hizo nyama zinaweza kupotea moja kwa moja?. Kuna dada mmoja kafanyiwa operation Mara kama nne kwenye hospital ya mkoa mmojawapo Tanzania lakini kula operation vinaota tena. Je, anaweza kupona kabisa kupitia operation? Kuna watu wamemshauri akafanyiwe upasuaji Muhimbili, he akifanya tena vinaweza kuota Mara nyingine?
 
Keloids hizo....matibabu yake ya operation huwa yanakuwa in phase, na kupona huwaga inakuwa changamoto sana
 
Back
Top Bottom