Na wewe utakufa unajiona chuma wewe eh?Safisha ubongo kabla ya kuongea. Kwako wewe daktari ni mtu yeyote unayemuona dispensary, kituo cha afya, na hospitali. Kama 'daktari' wako wa kituo cha afya anakuibia dawa basi na ukome. Toka lini daktari akahusika na mambo ya madawa?
Na wataendelea kuwaua tu mpaka haki zao wazipate!!! Na hata wakipata ripoti watawapa madaktari.
Hadi sasa hakuna kiongozi yeyote wa chama cha madakri/jumuiya ya madaktari aliyeachia ngazi...huenda Ribosome una ajenda yako,basi kiseme kilichotokea ikulu kama unakijua.Propaganda zako hazitafanikiwa kuvunja umoja wa madaktari.Siasa wapelekee wanasiasa uchwara wenzio.
Mtasema sana, lakini ukweli wameufyata na wapo waliokwisha jiuzulu uongozi wa hicho chama chao. Waulize kwanini?
Wanacho kimbilia kwenye vyombo vya habari nini? Kwani wao hawatakufa Pambaf !!! Wafanye kazi huko siwaliomba wenyeweSafisha ubongo kabla ya kuongea. Kwako wewe daktari ni mtu yeyote unayemuona dispensary, kituo cha afya, na hospitali. Kama 'daktari' wako wa kituo cha afya anakuibia dawa basi na ukome. Toka lini daktari akahusika na mambo ya madawa?
Na wataendelea kuwaua tu mpaka haki zao wazipate!!! Na hata wakipata ripoti watawapa madaktari.
Inaonyesha ni kweli mkuu wengi wao wanapiga dawa wanapeleka kwenye kliniki zaoInasemekana walionyeshwa majalada yao na dili zao hawakuamini kabisa, kuna jamaa anasema waliletewa mawasiliano yao kwa baadhi ya viongozi wa kisiasa, wakabaki wameduwaa!
we unacheza ana JK?mwanajeshi wa ukweli!
Mwandosya na Mwakyembe walipougua mbona walishindwa kuwatibu? kama ni mahodari sana, hao si watoa first aid tu, tiba India, Ulaya. Hao madaktari wanaoweka rehani roho za watu siwaamini kabisa, shida tu inipeleke kwao, tena ntachaguwa wa kunitibu, wapo ambao hawakuhusika na upumbavu huo.
Hali inajulikana na jitihada za kuboresha huduma ya afya inajulikana toka Kikwete aingie madarakani. Ni mengi sana kayafanya, pita vijijini ukaone vituo vya afya vipya, vinapendeza, hao madaktari mbona wanagoma kwenda huko kama ni kweli wanapenda kusaidia wenzao.
Hao walijidai wajanja, Kikwete alikuwa kimya siku zote, alipokutana nao wanajuwa walichokumbana nacho kutoka huko kimya, wameufyata. Na nnakuhakikishia watakuwa na adabu daima.
Mtasema sana, lakini ukweli wameufyata na wapo waliokwisha jiuzulu uongozi wa hicho chama chao. Waulize kwanini?
ulipoanzisha hii thread niliamini ulikuwa na cha maana, kumbe ni bonge la pimbi unayejipendekeza kwa kikwete kama malaya asie na soko, utabaki kukumbatia ujinga na umaskini maisha yako yote mpumbavu.Hali inajulikana na jitihada za kuboresha huduma ya afya inajulikana toka Kikwete aingie madarakani. Ni mengi sana kayafanya, pita vijijini ukaone vituo vya afya vipya, vinapendeza, hao madaktari mbona wanagoma kwenda huko kama ni kweli wanapenda kusaidia wenzao.
Hao walijidai wajanja, Kikwete alikuwa kimya siku zote, alipokutana nao wanajuwa walichokumbana nacho kutoka huko kimya, wameufyata. Na nnakuhakikishia watakuwa na adabu daima.
Hali inajulikana na jitihada za kuboresha huduma ya afya inajulikana toka Kikwete aingie madarakani. Ni mengi sana kayafanya, pita vijijini ukaone vituo vya afya vipya, vinapendeza, hao madaktari mbona wanagoma kwenda huko kama ni kweli wanapenda kusaidia wenzao.
Hao walijidai wajanja, Kikwete alikuwa kimya siku zote, alipokutana nao wanajuwa walichokumbana nacho kutoka huko kimya, wameufyata. Na nnakuhakikishia watakuwa na adabu daima.
chitage usipoteze focus kwa kumjibu mtu asiyejua dispensari kuna clinical officer na sio daktari.Hadi sasa hakuna kiongozi yeyote wa chama cha madakri/jumuiya ya madaktari aliyeachia ngazi...huenda Ribosome una ajenda yako,basi kiseme kilichotokea ikulu kama unakijua.Propaganda zako hazitafanikiwa kuvunja umoja wa madaktari.Siasa wapelekee wanasiasa uchwara wenzio.
ulipoanzisha hii thread niliamini ulikuwa na cha maana, kumbe ni bonge la pimbi unayejipendekeza kwa kikwete kama malaya asie na soko, utabaki kukumbatia ujinga na umaskini maisha yako yote mpumbavu.
mods hii thread iunganishwe na thread nyingine kuhusu sakata la mgomo wa madaktari.namuona muanzisha thread ni mtu aliyetumwa kuchochea mgomo mpya wa madaktari.