Madaktari mnawadhalilisha watanzania W/Hoi

Madaktari mnawadhalilisha watanzania W/Hoi

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Madaktari pingeni posho za wabunge na sio kuwaacha waTz wakiteseka mahospitalini eti mnalipwa hela ndogo ,huyo unayemtibu hapo hajui kula yake ya siku ataipata wapi. Wacheni kuwadhalilisha
 
Unataka tubishane kwa maneno, maneno matupu hayavunji mfupa na sasa huoni kama tunafanikiwa. Walijifanya kutupiga beat lakini wao wenyewe wamelegea kama demu anayetongozwa na akakubali.
Nyinyi hamuelewi hata siku moja serikali haiwezekani ikaongeza maslahi kwa wafanyakazi wa afya tu, lazima watumishi wa umma wote hasa wale wenye maslahi madogo zaidi kama walimu, na wale wa sekta binafsi lazima kote kupitiwe upya. Hivyo acheni umpuuzi wa kupinga mambo msioyajua. Tuacheni mdr tudai maslahi yetu. Kama hamuwezi nendeni mkalale.
 
Ikiwa wewe ni daktari, ndio maana kila anaeweza anakwenda kutibiwa nje. Hata kuandika vizuri hujui. Uchwara tu.
 
Madaktari pingeni posho za wabunge na sio kuwaacha waTz wakiteseka mahospitalini eti mnalipwa hela ndogo ,huyo unayemtibu hapo hajui kula yake ya siku ataipata wapi. Wacheni kuwadhalilisha
Hivi viumbe vyenye IQ ndogo namna hii vinatoka wapi? nashindwa hata niaaze kukuelimishaje!
 
Sasa ni kundi gani la wataalamu lisilo waaibisha watanzania? Tunaongozana kwa kupiga soga ili tusichoke tunakokwenda.
 
Madaktari pingeni posho za wabunge na sio kuwaacha waTz wakiteseka mahospitalini eti mnalipwa hela ndogo ,huyo unayemtibu hapo hajui kula yake ya siku ataipata wapi. Wacheni kuwadhalilisha

mi nafikiri waliokuahidi maisha bora na ukawapigia kura ndio wanaokudhalilisha na sio madaktari............
wewe ukiwa mnyonge, usijaribu kushawishi na wenzako wawe kama wewe................
 
Hivi viumbe vyenye IQ ndogo namna hii vinatoka wapi? nashindwa hata niaaze kukuelimishaje!

mkuu mnyonge ni mnyonge tu, hata umuelimishe vipi hawezi badilika.................
watu wa hivi ni kuwaacha tu.................
 
Mwiba bana.................wewe posho za wabunge hazikukeri? kwa nini zoezi la kuzipinga unadelegate??
 
Madaktari pingeni posho za wabunge na sio kuwaacha waTz wakiteseka mahospitalini eti mnalipwa hela ndogo ,huyo unayemtibu hapo hajui kula yake ya siku ataipata wapi. Wacheni kuwadhalilisha

Naona huo mwiba ulikuchoma kwenye masaburi mpaka unawaza kwa kutumia masaburi.
i bet kama una akili timamu ndugu!!
 
Madaktari pingeni posho za wabunge na sio kuwaacha waTz wakiteseka mahospitalini eti mnalipwa hela ndogo ,huyo unayemtibu hapo hajui kula yake ya siku ataipata wapi. Wacheni kuwadhalilisha

wewe unaona ni sawa sawia mazingira wanayofanyia kazi yasibadilishwe!!
rudi chekechea!!
 
JF Secreriat. I would like to thank you so much for continuing to provide Tanzanians with uncontaminated and relevant information on various matters. I would like to acknowledge your effort and those of who are doing the same in the threads posted and in other forums too.
I would like share with you some insights about the ongoing strike for you to be able to make an improved judgement on the situation.
As a stakeholder in the health sector and so do you, improving the quality and safety of health services in this country and wherever else, requires meeting the needs and expectations of both internal [healthcare workers] and external [patients and community] customers. These needs and expectations are variable but at the end of the day they are all determinant factors for success.
My analysis of this situation, doctors are for the first time in history demanding for both internal and external customers rights, expectations and needs. I am a bit disappointed by the breeze of the discussion in the sense that everyone is so focused on that doctors should return as the as the government should be addressing their needs. One could argue that this are possible, but think about hepatitis B vaccine – such a crucial but affordable intervention. Currently the Ministry is not providing for this and it is truly unacceptable. What about medical insurance for doctors? In several occasions I have been approached by colleagues that we make a contribution for fellow doctors who are admitted at Muhimbili Orthopedic Institute and other private hospital, and yet this are the key provider of the service in the country. I can not over-emphasize how the wages are a total mismatch with what these individuals do bearing in mind current inflation rates and the like.
The external ones are more important and I bet if the community could have understood about this, may be they could be the ones denying to go to facilities. These doctors have been complaining about lack of infrastructure, materials, supplies and equipment, factors of which truly compromise the safety and quality of the services offered to patients albeit doctors presence in the facilities.
There are some anecdotal reports on the lack of stuff listed hereunder in a number of reputable hospitals in the country
- Lack or non-functional sterilization facilities [meaning that patients can end up acquiring preventable infections during the course of surgeries and other procedures]
- Lack or inadequate running water and lack of water taps in the facilities [we all know that hand hygiene is the single cheap but efficient and effective intervention]
- Lack of incinerators [meaning that the waste from hospitals get access to the community un-checked, a situation that leads into transmission of infections to the naive community]
- Inconsistent power supply in hospitals
- Lack of maintenance of various equipment rendering hospitals "equipmentless"
These are just examples, but my point is I am not seeing a clear strategy in trying to address these issues, and it is high time that the government take care of the internal clients needs and promptly work together in addressing the external clients needs starting with the most life-threatening ones. There are people in the country who could work with the government in coming up with solutions if given opportunity.
I submit
 
Madaktari pingeni posho za wabunge na sio kuwaacha waTz wakiteseka mahospitalini eti mnalipwa hela ndogo ,huyo unayemtibu hapo hajui kula yake ya siku ataipata wapi. Wacheni kuwadhalilisha

Tangu lini maneno matupu yakavunja mfupa?
 
jaman inauma sana kama mtanzania anateswa ma watu wachache tu nyie viongozi hamjui kuwa hii dam ni laana si muwasikilize madaktari hoja zao au mnafanya hivi kwa sababu nyie mnatibiwa nje ya nchi?
 
watz wengi inapotokea mambo kama haya mwisho wetu ni kupiga ndomo tu. Tunatakiwa tufanye vitu kwa vitendo kuonyesha hisia zetu juu ya hawa madhalimu.

Hebu tujaribu kuwa kama ushirikiano wa viungo vya binadamu katika mwili! Kimojawapo kipatapo maumivu, mwili mzima hushughulishwa kwa maumivu tukiwaachia madrs peke yao ni usaliti na ukombozi hauwezi kupatikana.
 
Back
Top Bottom