hapa tunapoongea sasa hivi wamepokelewa madaktari watano kutoka Mbeya tanzania na tayari residence permit zao zinatengenezwa ili kuanza kazi mara,
watakuwa wanafanya kazi hospitali za Gaborone city council na mishahara yao itakuwa allmost mara saba ya mshahara waliokuwa wanapata tanzania wa laki tisa
My take:
serikali ya tanzania isifikiri inawakomoa hawa madaktari ambao nchi za huku kusini zinaheshimika kuliko jambo lolote lile,kama walifikiri wanawakomoa kwa kutumia SADC ili wasipate kazi huku wajua serikali ya Botswana ni serikali imara na madhubuti na haiendeshwi kinafiki
Wewe nini ulichokimbilia marekani?nawatakia maisha mema
Bravo.
Namkumbuka Dr. Kimaro (RIP) aliyekuwa Rais wa DARUSO miaka ya 1992, Rais Mwinyi aliapa kuwa hatafanya kazi yeyote Duniani, lakini Botswana alifanya kazi.
Mkuu huyu ****** hata kama ikisha-gone haoni.We don't know what we've got until its gone
kumbe uropokaji ulianza kitambo katika serikali hii ya ANGUKA(Ari Zaidi, NGUvu zaidi, KAsi zaidi)Bravo.
Namkumbuka Dr. Kimaro (RIP) aliyekuwa Rais wa DARUSO miaka ya 1992, Rais Mwinyi aliapa kuwa hatafanya kazi yeyote Duniani, lakini Botswana alifanya kazi.
Are you saying Dr. Kimaro ni marehemu kwa sasa? Alifariki lini? Alikuwa kiongozi wangu imara aliyewezesha maandamano kufanyika hadi kwenye geti la Magogoni!!!!
Tiba
Mimi nawashangaa watu wanaosema Madokta waende.Hivi huwa mnatembelea Shule zetu kuona jinsi Wanafunzi wengi wanavyoyaogopa masomo ya Sayansi?.Hata hao ambao wanaenda huko wanenda kusoma nadhari kwani shule hazina Maabra kwa ajili ya Masomo hayo.Watanzania tumechanganyikiwa hata hatujui dunia ya sasa inaendeshwaje.
Sasa wafanyeje? Unataka wabaki ili wang'olewe meno na kucha kwa prize! Tulikimbilia UNGWINI basi tufe na ungwini wetu
Evaluation is the last thing Dhaifu will bother doJK hasira hasara!
Kumbuka hawa watu uliingia gharama kuwasomesha leo hii wanasepa!
Indirectly unaccerelate anguko la CCM 2015