phina
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 414
- 126
Madaktari leo asubuhi wameukoleza moto kweli kweli!madaktari waliokwenye mafunzo ya vitendo (interns) wanazunguka tu wodini leo na madaktari wakazi(residents) wamekusanyika jengo la chuo cha kcmc wakiomba kupewa madarasa ya kusomea. Hii inatokana na vitisho walivyopewa na mkurugenzi wa hospitali kwamba hawaruhusiwi kugoma kwa sababu wao ni wanafunzi!
Madai yao ni kwamab 'sisi ni wanafunzi wa chuo hivyo hatuendi hospitali kutibu!tupewe madarasa tusome!'
Aluta continua
Madai yao ni kwamab 'sisi ni wanafunzi wa chuo hivyo hatuendi hospitali kutibu!tupewe madarasa tusome!'
Aluta continua