sasa mimi dr wa wanyama sijui niwaunge mkono hawa jamaa..........\Orait, kesho siendi kuwatibu wale wadudu wa mzee Macha.
Nagomaaaa.........I am supporting you guys.........100% pamoja.
Cousin unajua serikali at times inapenda sana kudharau carrier za wengine wanaona kuwa kufukuza ndio suluhisho, sielewi wanaposema kuwa hawana hela miaka karibia mitano mfululizo Kikwete ametumia mamia ya hela za walipa kodi kwenda WEF (World Economic Forum) na hatujaona faida yoyote zaidi ya kufuja hela na misafara ambayo hizo hela zingefanyia mambo menginePinda ni beneficiary wa posho... unajua anakunja shilingi ngapi kwa kikao?? hata cha leo alichoitisha yeye?
labda kapewa order na bosiHuyu PM angekuwa na busara angekubali ombi la madaktari kukutana nao kesho, uwaziri mkuu wake usingepungua na labda angejijengea heshima kwenye jamii. Kesho aibu itamshika pale madaktari watakapoendelea na mikutano yao.
Hapa ndiyo penyewe sasa. Mbona wabunge walipodai ongezeko la posho ya kukaa hapakutolewa amri? Zaidi tulipewa habari za kukubaliwa madai yao kwa kile kilicho elezwa gharama za maisha zimepanda mjini Dodoma.
MaDr. komaeni na msilegeze kamba. Haki haipigiwi magoti.
BRAVO kwa msimamo.
Nawasilisha.
mkuu waliokutana na press si viongozi.pinda anatakiwa madaktari ambao wengi wao wako safarini kuelekea dar.Sasa madaktari wadhihirisha immaturity tena. Wao wamesema hawawezi kukutana na waziri mkuu siku ya jumapili, lakini wameweza kukutana na waandishi wa habari!
Nadhani kuna madaktari wanapenda mgomo uendelee kwa sababu after all mshahara wao wanaendelea kupata na muda huu wa mgomo wanaendelea kufanya shughuli zao nyingine ikiwemo kwenda kutibia hospitali private...
Lakini jamani mashindano ya nini?. Pinda kenda kuwaona leo madaktari wameingia kizani wao wanataka wakutane kesho... Hivi kuna tofauti gani kati ya kukutana leo na kesho ikiwa agenda zipo tayari?
Lakini jamani mashindano ya nini?. Pinda kenda kuwaona leo madaktari wameingia kizani wao wanataka wakutane kesho... Hivi kuna tofauti gani kati ya kukutana leo na kesho ikiwa agenda zipo tayari?
Hapa patamu, ila pangenoga zaid kama na wananchi tungeingia barabarani kushinikiza maDK walipwe ili wakatibu wandungu zetu wenye wamelala mumahospitali bila kupatiwa huduma na madaktari. Yani hii ndo ilikuwa fursa ya kuuondoa huu utawala wa wababaishaji.Hapa ndiyo penyewe sasa. Mbona wabunge walipodai ongezeko la posho ya kukaa hapakutolewa amri? Zaidi tulipewa habari za kukubaliwa madai yao kwa kile kilicho elezwa gharama za maisha zimepanda mjini Dodoma.
MaDr. komaeni na msilegeze kamba. Haki haipigiwi magoti.
BRAVO kwa msimamo.
Nawasilisha.
Hongera madaktari wenzangu kwa kuwa na msimamo wamezoea kuwaburuza walimu let us teach them a reason.