Madaktari wana haki ya kudai madai yao......lakini kugoma tena,watu wa chini watakuwa wanaumia sana,nafkiri watafute njia nyingine mbadala ya kudai madai yao..
Nilitegemea kuona michango ya watu kuitaka serikali na madaktari wafikie mwafaka lakini cha ajabu michango ya watu wengi hapa wanataka madaktari wagome....sidhani kama nyie kweli mna uchungu na madai ya madaktari kuliko ndugu zenu watakaokufa mahospitalini kama ilivyokuwa katika mgomo wa awali.
mazingira ya kazi hayajaboreshwa
mponda na nkya hawajawajibishwa
hakunawaraka wowote kutoka serikalini unaoelekeza juu ya mabadiliko ya maslahi ya madaktari.pinda amedanganya tena!!kamati yake imeshakula perdiems,kamati ya bunge ya huduma za jamii imeshavuta perdiems,tunasubiri vifo vingine ndo tuamue???
Madaktari wana haki ya kudai madai yao......lakini kugoma tena,watu wa chini watakuwa wanaumia sana,nafkiri watafute njia nyingine mbadala ya kudai madai yao..
Hao madokta nadiriki kuwaita hayawani, nadhani wamerukwa na akili. Wamegoma kujadili kwenye kikao kisa kuna wauguzi , watu wa maabara na wafamasia kwahiyo wao wanajiona ni bora kuliko tAaluma za wenzao. Kama wanampango wa kugoma bora wagome tu lakini wajue wanao suffer ni kina baba kabwela.
Napita nitarudi badae bhanaHayawani ni wewe unaejidai haujui hali halisi. Kuna faida gani dokta kuingia kazini hali hakuna dawa, wala chochote cha kufacilitate tiba? Hayawani ni mzazi wako alozaa hayawani km wewe unaetetea serikali mfu kwa kuwaua watu wake wenyewe. Let say m2 anapelekwa theatre kupasuliwa, bingwa yupo, vifaa hakuna, dawa hakuna, umeme hakuna, daktari anaingia mfukoni mwake anajinunulia vifaa vile muhmu then atafanya ivyo mpaka lini hali fungu la kununulia vifaa zishaenda kuhongea mademu wa ba mwanaasha? Damu za wote watakaokufa na ikawe juu yao na familia zao wote wanaokula na kutapanya kodi zetu pamoja na hao wanaoshabikia madhila yanayowapata madaktari! AMEN!
Hayawani ni wewe unaejidai haujui hali halisi. Kuna faida gani dokta kuingia kazini hali hakuna dawa, wala chochote cha kufacilitate tiba? Hayawani ni mzazi wako alozaa hayawani km wewe unaetetea serikali mfu kwa kuwaua watu wake wenyewe. Let say m2 anapelekwa theatre kupasuliwa, bingwa yupo, vifaa hakuna, dawa hakuna, umeme hakuna, daktari anaingia mfukoni mwake anajinunulia vifaa vile muhmu then atafanya ivyo mpaka lini hali fungu la kununulia vifaa zishaenda kuhongea mademu wa ba mwanaasha? Damu za wote watakaokufa na ikawe juu yao na familia zao wote wanaokula na kutapanya kodi zetu pamoja na hao wanaoshabikia madhila yanayowapata madaktari! AMEN!
Naona unalinganisha mlima na kichuguuHawa madaktari wanaogoma ingekuwa kipindi cha nyerere mnachukua majina halafu utekelezaji unafuata...
wa tz wengi hatuwezi ku reason na ni non risk takerHahahah mkuu nahisi jamaha angekuwepo karibu ungempa kibao kitakatifu kwa jinsi ulivyochukia,kweli watu wengine wanaboa sana,kazi yao kudandia hoja wakati hawajuhi A wala C,Tanzania bado kazi ipo sana kupata idadi kubwa ya wananchi wanaojielewa
Naona unalinganisha mlima na kichuguu
wa tz wengi hatuwezi ku reason na ni non risk taker
nakubaliana na wewe!Tatizo la Tanzania ni kwamba, kupata uongozi ndio mafanikio makubwa ya mtu kufurahia. na si kujivunia umefanya nini kwenye nafasi hiyo uliyofikia. ndio maana viongozi wengi wame relax kwenye vyeo walivyonavyo. hii ndio sababu unaona hakuna hata tatizo moja hapa tanzania limetatuliwa na kuisha kabisa.