this saga has to end now!!! Either a nationwide super strike, or back to work
and i am still shocked on how our government still plays a "sissy" on such a serious matter
hata wale wa kuandika rufaa india wamegoma.
Your government... Not mine!This saga has to end now!!! Either a nationwide super strike, or back to work
and I am still shocked on how our government still plays a "sissy" on such a serious matter
Jana kashindwa kusema chochote kuhusu madaktari kaongea siasa tu, huyu mtu kweli nchi imemshinda maana kuna vitu vya msingi anaviacha anakusanya watu wasio na viatu kuwalisha wali na nyama kirumba, matokeo yake wamewatelekeza mwanza bila kuwarudisha kwao. Jk nchi imekushinda just say that watu warudi kwenye drawing board
Naona kama maneno "Menemene tekeli na peresi" yanasomeka mbele ya JK
So sad news,anyway naona msafara wa JK ndo unatoka jijini Mwanza kuelekea eapoti tayari kwa kurudi Dar nazani anaweza kwenda mojakwamoja Muhimbili kuteta na hawa maspesholist.
Unastahili kwa malipo unayolipwa kwa siku,Embu mwambie kakayo Jakaya akicheza na hili la madaktari majibu yake atayaona,ukweli anaweza kwenda nalo hata kama wamekula njama na vyombo vya habari wasitoe taarifa kwa ummaKiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ana uzito wake kuwepo nchini, Mbowe yuko USA badala ya kushughulikia mgomo wa madaktari kwa upande wa upinzani kapanda ndege na kuondoka. Viongozi wa nchi hii ni waajabu sana wanakimbia matatizo.
So sad news,anyway naona msafara wa JK ndo unatoka jijini Mwanza kuelekea eapoti tayari kwa kurudi Dar nazani anaweza kwenda mojakwamoja Muhimbili kuteta na hawa maspesholist.
Sasa wewe unamuonaje kwenye avatar yake?!kwani wewe daktari?