This is very dangerous and disgusting brain drain, due to myopic leaders of our country,please take quick action to resolve this brain drain,they were educated kwa kodi ya wavuja jasho,na ni hasara kwa taifa ukizingatia wengi wao hata deni la kusoma hawajaanza hata kulipa.
Msibweteke na hao madaktari wa jeshi amabo kwanza ni wachache na kwa scale ya jeshini wana mishahra minono na privellege kibao kama discounted prices kwenye maduka yao.
Mikopo isiyo na interest,bia za motisha,nyama ya motisha,free meal and meal allowances etc,hivy hawana interst na hayo madai,pia ni wachache na hawatakidhi hata 5% ya demand endapo madaktari wetu wataondoka.
Sitashangaa sana kuona serikali inaweka kiburi na kuacha madaktari wanatimka na mwisho wa siku wana import doctros from Cuba na China kwa mkataba wa miaka 5 na mkopo wenye ''nafuu''