Madai ya Polisi kuwabambikia kesi watuhumiwa yamejithibitisha katika kesi ya Kabendera

Karma applies kote, duniani na mbinguni, tena it's transferable to up to 4 generations!.
Watu wote watakaokwenda motoni ni karma inawapeleka!.
P
Nilikuwa nachombeza tu kaka, kwasababu ramri chonganishi na karma huwa unayapandisha pamoja,ndio nikachombeza kwa kusema " hivyo siyo karna"?
 
Simjui anayewatuma, ila kwa vile mimi ni mwandishi mwenye uwezo wa kufanya investigative journalism, ningeombwa kusaidia, ningesaidia na nimeishawahi kutangaza wazi humu jf, ila sijaombwa.

P
Kitendo tu cha kukataliwa kufanya uchunguzi unatakiwa kuwa ushapata Jawabu

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
It's true ni kweli hili la Kabendera na Mengi nalijua vizuri, kwa vile Mzee Mengi ameishatangulia mbele ya haki, naomba tumuache apumzike kwa amani, tukianza kufukua mambo humu, mtu aliyeheshimika na kuonekana kama malaika kwa wema wake, anaweza kugeuzwa shetani.

Ila Kabendera ni mkweli daima!, kwenye ushahidi ule alisema kweli tupu!. Ukiwa mkweli too much kwenye jamii iliyozoea uongo, utaonekana an enemy of the people!.

Hata mimi ni mtu mkweli kihivyo, and there is a price to pay!, kiukweli Kabendera alifuatwa na wasiojulikana, salama yake ni CCTV cameras nyumbani kwake!.

Tena hicho kilichomtokea aliwahi kulizungumza tukiwa naye kwenye mjadala wa huu organized by jamiiforums, mimi ndio nilikuwa moderator.

P

Ok nimekuelewa, tumuache kwasababu hatoweza kujibu, kwasababu aliisha tangulia mbele za haki.
Lakini hata watakaosoma bandiko lako la nyuma wanaweza kupata picha halisi.
 
Mkuu Mystery, kwanza naunga mkono hoja kuhusu kulaaniwa wale wote wanaosababisha mateso kwa wenzao.

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, hivyo kwa mujibu wa karma, watakao laaniwa sio polisi wala waendesha mashitaka, bali aliyewatuma. Hao polisi huwa hawaamki tuu na kumbambikia mtu kesi, bali hutumwa!. Polisi na waendesha mashitaka wao wanatumwa tuu, hivyo wanatekeleza majukumu yao kwa mujibu wa ajira zao za kutii mamlaka, ni sawa tuu na wale waliomshambulia Tundu Lissu, kama ni utekelezaji wa amri halali, kwa mujibu wa sheria ya karma, hawana kosa lolote, na hawatapata laana yoyote, bali aliyewatuma.

Kwenye hili la Kabendera, kwa vile na mimi nimetajwa kuwa eti ndiye niliyemchomea kupitia makala zangu humu, jf, kama kweli lengo la makala zile lilikuwa kumchongea mtu au kumchomea, kwenye karma ya Kabendera, nitakuwa na sehemu yangu, lakini kama niliziandika genuinely for informative porpoises only na sio kuchomea mtu, hata kama ni kweli makala hizo ndizo zilizochochea kumkuta yaliyomkuta, I'll be totally innocent and no karma reprisals will befalls me.

P
Mkuu umeiongelea karma as if wewe ndiye Mratibu Mkuu wa hizo karma.

Na kama karma haitowahusu watekelezaji, basi hata sie Binaadamu tutatakaswa makosa yetu kwani Mtumaji Mkuu wa dhambi zetu ni Mkubwa mwenyewe LUCIFER, sisi huwa ni Watekelezaji tu...kwa hiyo ndio kusema karma itamtandika lucifer?.
 
No, Mungu alipotuumba na kutupulizia pumzi ya Uzima, Life Force, ina nguvu za Uungu ndani yake, hivyo Mungu yumo ndani yetu kupitia Roho, mtu akifa, kinachokufa ni kiwiliwili tuu na sio Roho, hata ulisikia mtu amekata Roho, alichokat huwaa ni pumzi, Roho huwa inaondoka inaacha mwili.

Pamoja na Mungu kutupa Roho au pumzi ya uzima, life force, pia alitupa utashi wa kuchagua mema na mabaya. Tukichagua mema, tumemfuata Mungu, tukichagua mabaya tumemfuata shetani, Lucifer, Ibilisi.

Kwa vile una Mungu ndani yako, shetani hawezi kufanya lolote bali hutumia ushawishi na uamuzi wa kumfuata shetani huamuliwa na wewe kupitia ule utashi, ndivyo ibilisi alivyomshawishi Eva/Hawa tunda likamegwa na Eva kumshawishi Adamu naye akamega, wakatenda dhambi, na karma yake ni kuzaa kwa uchungu. Hivyo shetani hawezi kutuma mtu bali kushawishi, uamuzi wa kumfuata ni wako na karma ii juu yako.

Miongoni mwa matendo mema ni kitu kinachoitwa kutii na utii kwa mamlaka halali. Mtu aliyeajiriwa kunyonga watu gereza za Isanga, kunyonga ndio kazi yake, hata mtu akihukumiwa kwa makosa, mnyongaji akamnyonga an innocent victim, karma ya dhambi ya kuyongwa kwa an innocent victim is upon aliyetoa hukumu hiyo, na sio rais anaye saini death warrant wala mnyongaji anayetimiza wajibu wake.

Hata shambuluzi la Lissu, wale wasiojulikana, kama walipewa amri halali na wametekeleza wajibu wao, karma ya shambulio hilo is upon aliowapa amri na sio watekelezaji.

Pia somo la karma nimeisha lifundisha sana humu jukwaani.

P
 
No, Mungu alipotuumba na kutupulizia pumzi ya Uzima, Life Force, ina nguvu za Uungu ndani yake, hivyo Mungu yumo ndani yetu kupitia Roho, mtu akifa, kinachokufa ni kiwiliwili tuu na sio Roho, hata ulisikia mtu amekata Roho, alichokat huwaa ni pumzi, Roho huwa inaondoka inaacha mwili.

Pamoja na Mungu kutupa Roho au pumzi ya uzima, life force, pia alitupa utashi wa kuchagua mema na mabaya. Tukichagua mema, tumemfuata Mungu, tukichagua mabaya tumemfuata shetani, Lucifer, Ibilisi.

Kwa vile una Mungu ndani yako, shetani hawezi kufanya lolote bali hutumia ushawishi na uamuzi wa kumfuata shetani huamuliwa na wewe kupitia ule utashi, ndivyo ibilisi alivyomshawishi Eva/Hawa tunda likamegwa na Eva kumshawishi Adamu naye akamega, wakatenda dhambi, na karma yake ni kuzaa kwa uchungu. Hivyo shetani hawezi kutuma mtu bali kushawishi, uamuzi wa kumfuata ni wako na karma ii juu yake.

Miongoni mwa matendo mema ni kitu kinachoitwa kutii na utii kwa mamlaka halali. Mtu aliyeajiriwa kunyonga watu gereza za Isanga, kunyonga ndio kazi yake, hata mtu akihukumiwa kwa makosa, mnyongaji akamnyonga an innocent victim, karma ya dhambi ya kuyongwa kwa an innocent victim is upon aliyetoa hukumu hiyo, na sio rais anaye saini death warrant wala mnyongaji anayetimiza wajibu wake.

Hata shambuluzi la Lissu, wale wasiojulikana, kama walipewa amri halali na wametekeleza wajibu wao, karma ya shambulio hilo is upon aliowapa amri na sio watekelezaji.

Pia somo la karma nimeisha lifundisha sana humu jukwaani.

P
Kwa vile una Mungu ndani yako, shetani hawezi kufanya lolote bali hutumia ushawishi na uamuzi wa kumfuata shetani huamuliwa na wewe kupitia ule utashi, ndivyo ibilisi alivyomshawishi Eva/Hawa tunda likamegwa na Eva kumshawishi Adamu naye akamega, wakatenda dhambi, na karma yake ni kuzaa kwa uchungu. Hivyo shetani hawezi kutuma mtu bali kushawishi, uamuzi wa kumfuata ni wako na karma ii juu yake.

Nadhani hapo ulimaanisha "Karma ni juu yako"
 
Thanks, karma iko juu yako kwa mujibu wa matendo yako, na kama ni wewe uliamrisha Lissu afanywe vile, anayejesabika kutenda ni aliyeamrisha, hata kama wakati wa utekelezaji aliyeamrisha alikuwa kanisani mbele ya altare au madhabau, karma haijali hayo.

Tena kama wale watekelezaji waliingiwa huruma wakaamua kumnusuru kwa kujifanya wamekosea shabaha, then badala ya kulaaniwa, watabarikiwa!.
P
 
Nilistushwa na mabadiliko ya msimamo wa waendesha mashitaka, ambao ni Polisi katika kesi ya Kabendera hapo jana.

Nimewasikia waendesha mashitaka hao wakieleza kuwa upande wa mashitaka hauna nia ya kuendelea na kesi hiyo na hivyo wamekubali kuwa mazungumzo ya upande wa mashitaka na mtuhumiwa yafanyike ili mtuhumiwa aachiwe huru!

Nimejiuliza hivi hatua hii imefikiwa baada ya Rais Magufuli kutoa kauli kali siku chache zilizopita akiwatuhumu Polisi hao kuwa wanaowabambikia kesi za uhujumi uchumi na utakatishaji pesa ili watuhumiwa hao waendelee kusota magerezani kwa lengo la kuwakomoa watuhumiwa hao?

Rais aliendelea kufunguka kwa kusema kuwa walaaniwe waendesha mashitaka hao ambao wanawabambikia kesi watuhumiwa hao kwa lengo tu la kuwakomoa ili wakae magerezani kwa kipindi kirefu sana.

Nimejiuliza hivi hii kesi ya Kabendera si imefikishwa mahakamani hapo zaidi ya miezi 6 iliyopita, na wakati wote huo waendesha mashitaka hao wamekuwa wakiendelea "kukomaa" kuwa ushahidi hawajaukamilisha?

Sasa iweje hivi sasa, baada ya kumsotesha Kabendera zaidi ya miezi 6 jela, ndiyo hao waendesha mashitaka waone hakuna haja ya kuendelea na kesi hiyo?

Hao waendesha mashitaka, ambao ni Polisi si wamekuwa wakidai, katika kipindi chote hiko cha miezi 6 kila kesi inapoenda kutajwa mahakamani, wanaomba kesi iahirishwe kwa madai kuwa ushahidi haujakamilika?

Kama ni hayo majadiliano kati ya mtuhumiwa na upande wa mashitaka, si huyo Kabendera alishayafanya zaidi ya miezi 4 iliyopita na akaeleza kuwa yeye hana hatia kwa makosa hayo wanayomtuhumu nayo hapo mahakamani?

Kama alivyosema Mheshimiwa Rais na Mimi niunge mkono kuwa walaaniwe waendesha mashitaka wote ambao ni Polisi, kwa kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji pesa kwa watuhumiwa na hivyo kuleta usumbufu mkubwa kwa mtuhumiwa kukaa gerezani kwa kipindi kirefu sana.

Ningependekeza kwa hao Polisi wenye tabia hiyo, ili na wao waweze kuona hayo matendo wanayoowafanyia Watanzania wenzao kuwa siyo mazuri, mahakama iweze "kuwageuzia kibao" na wao waweze kukaa magerezani kwa kipindi kirefu sana.

Kama hayo ni "maigizo" anayotufanyia Jiwe na yeye ndiye anayewaagiza hao Polisi wafanye unyama huo na yeye anawaruka hivi sasa, basi laana hiyo imgeukie yeye mwenyewe
Soma maana ya plea bargain na procedures zake; kwakweli ukifanya hivyo, utaelewa.
 
Mifumo yetu ya makosa ya jinai unatoa mwanya wa mtu kufanyiwa jambo lolote na watu wenye ushawishi kwa mamlaka au wenye nguvu za kimamlaka.
Ule msemo wa “Nitakuonyesha” au “Unanijua Mimi ni nani?” ni msemo hatarishi sana kwa watu hoehae achilia mbali hizo za uhujumu uchumi kwetu huku uswahilini ukipigwa kipisi cha bange tayari ni msala mbaya zaidi watanzania wengi hawana ufahamu wa sheria wala hawajui kujieleza.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ikiwa kwel police wamethibitish kuwa hawana nia ya kuendelea na kesi,bas the mission is accomplished... na hapo ndipo utakapojua kuwa nchi huwa inaendeshwa na watu wachache.....
 
Mkuu Mystery, kwanza naunga mkono hoja kuhusu kulaaniwa wale wote wanaosababisha mateso kwa wenzao.

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, hivyo kwa mujibu wa karma, watakao laaniwa sio polisi wala waendesha mashitaka, bali aliyewatuma. Hao polisi huwa hawaamki tuu na kumbambikia mtu kesi, bali hutumwa!. Polisi na waendesha mashitaka wao wanatumwa tuu, hivyo wanatekeleza majukumu yao kwa mujibu wa ajira zao za kutii mamlaka, ni sawa tuu na wale waliomshambulia Tundu Lissu, kama ni utekelezaji wa amri halali, kwa mujibu wa sheria ya karma, hawana kosa lolote, na hawatapata laana yoyote, bali aliyewatuma.

Kwenye hili la Kabendera, kwa vile na mimi nimetajwa kuwa eti ndiye niliyemchomea kupitia makala zangu humu, jf, kama kweli lengo la makala zile lilikuwa kumchongea mtu au kumchomea, kwenye karma ya Kabendera, nitakuwa na sehemu yangu, lakini kama niliziandika genuinely for informative porpoises only na sio kuchomea mtu, hata kama ni kweli makala hizo ndizo zilizochochea kumkuta yaliyomkuta, I'll be totally innocent and no karma reprisals will befalls me.

Trump alipoingia madarakani aliwauliza majenerali wake kuhusu Syria, "Why not liquidate Assad and end the game", wakamwambia hata ukituamuru tufanye hilo, hatutatii, tutakataa.

Kutii amri ina limit yake na wala kwenye sheria, hiyo sio "Defence", ukifanya vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu ukitegemea utetezi wa kijinga hivyo, umeuchuya kamuulize Dominic Ong'wen yaliyomkuta kule ICC.

It's very feeble defence and not tenable at law.
 
Kutoka maktaba
BAK
It's true

Mods wameamua kufukua makaburi ili wananchi wapate ushahidi usio na shaka, kuhusu utendaji kazi wa Jeshi letu la Polisi, kuwa ni wabambikiaji wakubwa wa kesi kwa raia wasio na hatia
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom