Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,747
- 14,649
Aisee,sijawahi kuwa na imani na kiongozi yeyote wa serikali, ila wewe unanipa matumaini,kuwa kuna wachache wema waliobaki, Mungu wa mbinguni akupe uzima Mama,akuongezee hekima na akukomaze katika Uthubutu, inaonyesha huna makandokando ndiyo maana una ujasiri wa kusimama mbele ya wana JF wote na ukaongea kwa kujiamini kabisa,barikiwa sana.Bado sijaelewa vzr hii hoja. Kwa kuwa tukio lilitokea 28 Februari 2024 na wanafamilia wakakaa nalo Hadi tarehe 11 Machi 2024 ndiyo wakaripoti Polisi na jalada kufunguliwa. Taarifa za mitandao zimeanza jana asubuhi ambapo, Jeshi la Polisi likatoa taarifa ya ujumla wa kesi zote. Sasa sijajua hapa, nani alianza kuchukua hatua kwa wakati na kwa nini ilitoka taarifa ya upotoshaji ya kutuhumu waziri kuwa kaongea na mlalamikaji wakati siyo kweli. Kila mmoja atapima mwenyewe.
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app