Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

Labda tukitengeneza wizara ya uigizaji /maigizo ndio Ummy atafit yule uwezo wake ni mdogo sana sijui hata zile shahada alizipataje!

In short is not a ministerial figure.
Za shahada za hapa na pale uchawa na kununua vijana mtandaoni wamtetee anapofanya mablunder hajitambui kabisa yule ticha
 
Nakupongeza sana Dr. Gwajima D, ki ukweli kiu yangu ni kuona mawaziri wengine wanaiga mfumo wako wa kujitokeza waziwazi kujibu hoja na kutoa ufafanuzi kwa wananchi pale inapohitajika. Natamani ungekuwa hata waziri wa umeme pengine ningekuwa nilishapata jibu juu ya kero yangu ambayo inaenda mwaka wa sita bila majibu.
 
Hili nenda nalo taratibu na kwa umakini mkubwa Mkuu.

Halafu huyu muathirika wa hili wala msimsumbue saana (mwajua ukifiwa hali inakuwaje), nadhani ni vyema uongozi wa shule na dawati la jinsia wahojiwe zaidi.

Unaweza sema hakupi namba hakupi namba kumbe Kuna vitisho anavipokea kule alipo.

Wachana na habari ya kusubiri hizo namba ukiwa umeketi kwenye kiti na simu mkononi, weka utaratibu mzuri wa kufuatilia hili kuupata ukweli.
Hiyo ilikuwa ni taarifa na siyo kwamba naendelea kufuatilia. Mimi huko nimeshapita, nimesahau, tuko mbele kufuatilia kesi. Ila katika hili, ilibidi niinuke niliyetuhumiwa nifafanue.

Uongozi ni kwenda mbele siyo kumkalia kooni aliyekutuhumu, hapana. Spirit ya uongozi ni kuweka mambo wazi, fafanua, elimisha, songa mbele. Kuhusu welfare za mfiwa, ustawi wa jamii wing ya Kilimanjaro watafanyia kazi. Ahsante kwa maoni.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Amen ibarikiwe sana Mh Waziri!
 
Ahsante kwa ufafanuzi.🙏
Usisahau yaliyopita,marejeo ni muhimu.
 
Anaonewa?..acha uhuni
Kivipi watu wamekamatwa ikiwemo waalimu ? Anaonewaje hapo ? Nani anatoa hiyo rushwa huyu mama aonewe ? Wote masikini tu walimu alie field ni wanafunzi huyo ....hakuna kuonewa labda mama ana haraka hana subira acha wafanye kazi yao.....vyombo sheria vipo akiona hajaridhila atakata rufaa
 
Hiyo ilikuwa ni taarifa na siyo kwamba naendelea kufuatilia. Mimi huko nimeshapita, nimesahau, tuko mbele kufuatilia kesi. Ila katika hili, ilibidi niinuke niliyetuhumiwa nifafanue.

Uongozi ni kwenda mbele siyo kumkalia kooni aliyekutuhumu, hapana. Spirit ya uongozi ni kuweka mambo wazi, fafanua, elimisha, songa mbele. Kuhusu welfare za mfiwa, ustawi wa jamii wing ya Kilimanjaro watafanyia kazi. Ahsante kwa maoni.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
MH waziri nikupongeze Sana kwa kazi nzuri Sana unayofanya kwa kushuka chin Huku kwenye jamii na kuto
1663294742838.jpg
a ufafanuzi wa jambo muhimu kama hili unaitendea haki ofisi Yako na jamii kwa ujumla mawaziri wote wangefanya hivi natumai MH rais angefurahi Sana Sasa Mimi Nina jambo Moja nahitaji kidogo ufafanuzi wako,Nina ndugu yangu ambae alikuwa askari wa jeshi la polisi mkaani Dodoma ana cheo Cha inspekta pia alikuwa OCS wa kituo Cha mji wa kiserikali mtumba alipotea tangu mwezi juni2021 na mazingira ya upotevu wake aliacha Kila kitu pale kwake kuanzia vyeti,kadi za benki hata simu zake hajapatikana mpaka Leo hii ukienda kuwauliza polisi wanasema wao wanamuhesabu kama mtoro na ni mwaka wa nne huu hawana majibu mzazi wake ambae ni mama Hana majibu mpaka leo ni nini hatima ya jambo kama hili kwani jeshi la polisi ni wazi hawana majibu Asante.
N.b nipo tayari kuku pm namba ya mama mzazi wa askari huyo ukamuhoji swala hili
 
MH waziri nikupongeze Sana kwa kazi nzuri Sana unayofanya kwa kushuka chin Huku kwenye jamii na kutoView attachment 2935953a ufafanuzi wa jambo muhimu kama hili unaitendea haki ofisi Yako na jamii kwa ujumla mawaziri wote wangefanya hivi natumai MH rais angefurahi Sana Sasa Mimi Nina jambo Moja nahitaji kidogo ufafanuzi wako,Nina ndugu yangu ambae alikuwa askari wa jeshi la polisi mkaani Dodoma ana cheo Cha inspekta pia alikuwa OCS wa kituo Cha mji wa kiserikali mtumba alipotea tangu mwezi juni2021 na mazingira ya upotevu wake aliacha Kila kitu pale kwake kuanzia vyeti,kadi za benki hata simu zake hajapatikana mpaka Leo hii ukienda kuwauliza polisi wanasema wao wanamuhesabu kama mtoro na ni mwaka wa nne huu hawana majibu mzazi wake ambae ni mama Hana majibu mpaka leo ni nini hatima ya jambo kama hili kwani jeshi la polisi ni wazi hawana majibu Asante.
Hbr za asubuhi. Poleni sana.
Kwa kweli hili ni jambo la kiuchunguzi chini ya Jeshi la Polisi hivyo, unaweza wasiliana na Mhe Waziri wa mambo ya ndani kwa ushauri zaidi au IGP.

Shukrani

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Kivipi watu wamekamatwa ikiwemo waalimu ? Anaonewaje hapo ? Nani anatoa hiyo rushwa huyu mama aonewe ? Wote masikini tu walimu alie field ni wanafunzi huyo ....hakuna kuonewa labda mama ana haraka hana subira acha wafanye kazi yao.....vyombo sheria vipo akiona hajaridhila atakata rufaa
Naona umedandia kitu ambacho hujaelewa...soma tena.
Pamoja na hayo unaanzaje kusema huyo mama hana subira?...get into her shoes...
Wewe ni mtu mjinga sana...Tafakari wewe zezeta
 
Baada ya watu mitandaoni kuja juu kuhusu jambo hili ndo wahusika wameanza kuchukua hatua. Najiuliza, sijui ingekuwaje kama mfiwa asingetoka hadharani kuomba misaada kwa general public?
Bado sijaelewa vzr hii hoja. Kwa kuwa tukio lilitokea 28 Februari 2024 na wanafamilia wakakaa nalo Hadi tarehe 11 Machi 2024 ndiyo wakaripoti Polisi na jalada kufunguliwa. Taarifa za mitandao zimeanza jana asubuhi ambapo, Jeshi la Polisi likatoa taarifa ya ujumla wa kesi zote. Sasa sijajua hapa, nani alianza kuchukua hatua kwa wakati na kwa nini ilitoka taarifa ya upotoshaji ya kutuhumu waziri kuwa kaongea na mlalamikaji wakati siyo kweli. Kila mmoja atapima mwenyewe.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Hbr za asubuhi. Poleni sana.
Kwa kweli hili ni jambo la kiuchunguzi chini ya Jeshi la Polisi hivyo, unaweza wasiliana na Mhe Waziri wa mambo ya ndani kwa ushauri zaidi au IGP.

Shukrani

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa majibu MH waziri,Sasa kinachonishangaza haohao polisi wanaochunguza baada ya kwenda kuwauliza pale polisi kati Dodoma nao wamesema wamefuatilia(chunguza) wameshindwa kujua chochote mpaka Leo nini kifanyike.
 
Imetolewa taarifa hapa Jf hoja mchanganyiko na anayejitambulisha kama Anonymous kuwa: mtajwa hapo juu sikumsikiliza alipokuja mara ya pili kwamba amekwama kwenye mfumo wa huduma dawati la jinsia.

Kwanza napongeza watoa taarifa za kijamii pale penye changamoto za kijamii ambazo, zimekwama hatua moja au nyingine na jamii inahitaji msaada.

HATA HIVYO, naomba kuweka taarifa ya ufafanuzi kuwa, sijawahi kuongea na mlalamikaji kwa simu na wala huwa situmii huduma ya kuongea kwa simu kwa yeyote yule bali huduma ya kuandika ujumbe Ili nibaki na kumbukumbu na ndiyo nilitangaza hivyo.

Nimemuomba mlalamikaji hizo namba ambazo alizipigia baada ya yeye kukanusha pia kuwa hakuongea na mimi, tangu asubuhi hadi sasa jioni nasubiri. Uzuri Nina Imani mifumo ya simu za kuongea inatunza kumbukumbu, hivyo sitarajii nikanushe halafu kumbukumbu ziseme niliongea naye.

Huenda aliongea na namba za call center au namba za madawati ya Jinsia eneo husika, ambapo, tangu asubuhi nimeomba anitumie kumbukumbu husika, bado hajanipatia.

Aidha, kwa taarifa zaidi kuhusu shauri hili ni namba
MOS/IR/1950/2024 KIFO CHA MASHAKA ambapo, Watuhumiwa 5 wamekamatwa na Polisi kwa mahojiano (taarifa ya Polisi imeambatishwa hapa chini kwa rejea sn 3).

WITO WANGU; Watoa taarifa za jamii pamoja na pongezi kwa kazi kubwa mnayofanya, vema muwe mnachukua taarifa pande zote siyo moja (strike a balance). Vinginevyo tutayumbisha mshikamano wa pamoja katika kupambana na matukio haya.

Ahsanteni sana, mbarikiwe wote, Kila mmoja kwa kadri alivyochangia.View attachment 2935559View attachment 2935560

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Mh. Kwa Ufafanuzi wa haraka Kwa namna hii itapunguza majungu na manung'uniko,
Upelelezi huo ukamilike Kwa wakati bila
Kuleta mashaka Kwa kutokumuonea au kupendelea yeyote ili haki iweze kutendeka,Hongera Sana mama na nikutakie majukumu mema.
 
Imetolewa taarifa hapa Jf hoja mchanganyiko na anayejitambulisha kama Anonymous kuwa: mtajwa hapo juu sikumsikiliza alipokuja mara ya pili kwamba amekwama kwenye mfumo wa huduma dawati la jinsia.

Kwanza napongeza watoa taarifa za kijamii pale penye changamoto za kijamii ambazo, zimekwama hatua moja au nyingine na jamii inahitaji msaada.

HATA HIVYO, naomba kuweka taarifa ya ufafanuzi kuwa, sijawahi kuongea na mlalamikaji kwa simu na wala huwa situmii huduma ya kuongea kwa simu kwa yeyote yule bali huduma ya kuandika ujumbe Ili nibaki na kumbukumbu na ndiyo nilitangaza hivyo.

Nimemuomba mlalamikaji hizo namba ambazo alizipigia baada ya yeye kukanusha pia kuwa hakuongea na mimi, tangu asubuhi hadi sasa jioni nasubiri. Uzuri Nina Imani mifumo ya simu za kuongea inatunza kumbukumbu, hivyo sitarajii nikanushe halafu kumbukumbu ziseme niliongea naye.

Huenda aliongea na namba za call center au namba za madawati ya Jinsia eneo husika, ambapo, tangu asubuhi nimeomba anitumie kumbukumbu husika, bado hajanipatia.

Aidha, kwa taarifa zaidi kuhusu shauri hili ni namba
MOS/IR/1950/2024 KIFO CHA MASHAKA ambapo, Watuhumiwa 5 wamekamatwa na Polisi kwa mahojiano (taarifa ya Polisi imeambatishwa hapa chini kwa rejea sn 3).

WITO WANGU; Watoa taarifa za jamii pamoja na pongezi kwa kazi kubwa mnayofanya, vema muwe mnachukua taarifa pande zote siyo moja (strike a balance). Vinginevyo tutayumbisha mshikamano wa pamoja katika kupambana na matukio haya.

Ahsanteni sana, mbarikiwe wote, Kila mmoja kwa kadri alivyochangia.View attachment 2935559View attachment 2935560

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Mh. Nmependa majibu yako yamejitosheleza na yoko well balanced

Endelea vyema na majukumu mama yetu
 
Lifanyiwe kazi.

Kuchapa viboko watoto kuanzie Dalasa la tatu.

Tena kwa ruhusa maalum ya Mwalimu Mkuu kama taratibu zinavyoeleza.
Na uzito wa Kiboko uzingatiwe.
Usiwe ule wa kuuwa Nyoka.

Nyakati hizi watoto wanaoanza Dalasa la Kwanza ni wadogo sana kwa Umri, Umbo na Utimamu wa afya.

Haiingia akilini Mwalimu mwenye Umri wa miaka kuanzia Ishirini Hadi sitini kumchapa Kiboko mtoto mdogo wa Dalasa la Kwanza ambaye hana ufahamu wa kutosha kuhusu taratibu na kanuni za mafunzo.
Uzito wa Kiboko hauzingatiwi kulingana na Umri wa mtoto.

Shule Binafsi zinawezaje kuwaelimisha watoto bila viboko?

Wengi tumesoma Primary Schools humu.

Kuna walimu wanapenda kuchapa viboko tu, darasani wanatema pumba tu.

Walimu Wakuu ni lazima wapewe miongozo ya viboko.

Eti Mwalimu wa umli wa miaka 40 anamlalamikia mtoto wa miaka 6 kuwa ni mtundu sana.
Hadi anaona, Jibu ni kumtandika tu viboko.
Mtu kama huyo hana sifa ya kuwa Mwalimu.
Maana ya Mwalimu wa Msingi na Secondary, ni MLEZI wa watoto.

Nchi zilizo staarabika zimeacha huu upuuzi wa viboko.
Mtoto hasikii arudishwe kwa wazazi wake wakamrekebishe.

Mtu mzima timamu kuanza kufanya bifu na vitoto vya Dalasa la Kwanza ni upotofu wa maadili ya jamii yetu ya kisasa.
Na kuto jitambua kwa Mwalimu husika
 
Hiyo ilikuwa ni taarifa na siyo kwamba naendelea kufuatilia. Mimi huko nimeshapita, nimesahau, tuko mbele kufuatilia kesi. Ila katika hili, ilibidi niinuke niliyetuhumiwa nifafanue.

Uongozi ni kwenda mbele siyo kumkalia kooni aliyekutuhumu, hapana. Spirit ya uongozi ni kuweka mambo wazi, fafanua, elimisha, songa mbele. Kuhusu welfare za mfiwa, ustawi wa jamii wing ya Kilimanjaro watafanyia kazi. Ahsante kwa maoni.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Tukipata viongozi 10 kama wewe hii nchi itafika mbali sana. Nakuombea na natambua kazi yako kubwa mno katika jamii.

Kiongozi bora mwenye hari ya kusaidia watanzania. Bila shaka jamii imepata full story ya nini kinaendlea baada ya taarifa za mseto huku mtaani. Kazi nzuri.

Natamani uwasaidie Yanga kuwafunga Masandawana (Kidding!)
 
Jitahidi usome, itakusaidia kwenye kushirikiana. Siku hizi hakuna kukubali kusingiziwa jambo la uongo, simama, sema. Kama ni kweli na ni kwa bahati mbaya, hekima ni kuomba radhi. Lakini kama uongo simama kwa hekima, kanusha.

Ni hekima mchango wa kila mmoja kwenye ujenzi wa taifa utambuliwe.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Samahani Mheshimiwa Waziri, hivi ni kweli nyinyi kama watunga sera na sheria mnashindwa kupeleka muswada Bungeni ama hata hoja binafsi ya kuondoa adhabu za viboko mashuleni?

Tumekuwa tukishuhudia adhabu za walimu kwa wanafunzi tena wadogo kiumri hadi kupelekea vifo, majeraha ama ulemavu wa kudumu.

Kiukweli inashangaza mno kuona tukishughulika na matokeo mabaya badala ya kuangalia njia za kuzuia. Prevention is better than cure.

Watoto wanateseka mno mashuleni hadi kufikia kuchukia shule kwasababu ya ukatili wa adhabu zisizofuata muongozo.

Tafadhali Mheshimiwa wananchi wengi wana imani sana hasa kwako binafsi unafanya kazi kwa bidii na uwazi hivyo liangalieni hili kuzuia majeraha, ulemavu wa kudumu ama vifo kwa watoto.

Panaweza pakawa na adhabu mbadala kama kumtoza mzazi faini pale ambapo mtoto atakiuka kanuni, taratibu na sheria za shule ila sio hizi adhabu za kinyama.

Tutoke huku dunia ya leo sio ya kuendekeza utumwa kwa kutumia viboko kuadhibu Mheshimiwa Waziri.
 
Back
Top Bottom