Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 848
- 1,075
Nakupongeza sana Dr. Gwajima D, ki ukweli kiu yangu ni kuona mawaziri wengine wanaiga mfumo wako wa kujitokeza waziwazi kujibu hoja na kutoa ufafanuzi kwa wananchi pale inapohitajika. Natamani ungekuwa hata waziri wa umeme pengine ningekuwa nilishapata jibu juu ya kero yangu ambayo inaenda mwaka wa sita bila majibu.