Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
So long as Unaamini na unapisha imani yako kama imani na sio kujua / Kufahamu (ni Haki Yako)BADO NAAMINI COVID 19 NI UGONJWA WA KUTENGENEZA KWA MASLAHI YA MABEBERU NA WAUZA CHANJO
PIA VILEVILE NI BIO-WEAPON
Bado mimi binafsi (nafsi ya kwanza umoja-mimi) haimaanishi mawazo yangu yanashinikiza wengine wasichukue tahadhari au kujikingaSo long as Unaamini na unapisha imani yako kama imani na sio kujua / Kufahamu (ni Haki Yako)....
Mkuu don't shout nakusikia mkuuBADO MIMI BINAFSI (NAFSI YA KWANZA UMOJA-MIMI) HAIMAANISHI MAWAZO YANGU YANASHINIKIZA WENGINE WASICHUKUE TAHADHARI AU KUJIKINGA
Nimeona niweke hili sawa
Bio weapons pia zingie hufeli why not? Vita vya kiuchumi sio mchezo and sishangai kila kukicha kunaibuka "strains" / Aina mpya za COVID 19Mkuu don't shout nakusikia mkuu ?
Kwahio hio Bio Weapon walitengeneza ili wajipige wenyewe ? Ukizingatia Afrika hawajawa affected kama European and American Countries kwahio kwa kufuata logic huenda hio weapon tumetengeneza sisi Africans au watu wa Antarctica ?
Basi hao (wasiojulikana ambao wewe huenda unawajua) they are not all that bright, kwa mbinu zote ambazo wangeweza kutumia wanatumia mbinu hii risky ambayo kuwezekana kwake ni majaliwa na toss of a coin?Bio weapons pia zingie hufeli why not? Vita vya kiuchumi sio mchezo and sishangai kila kukicha kunaibuka "strains" / Aina mpya za COVID 19
HATA MIMI NAAMINI NI WA KUTENGENEZA...ILA UMESHAINGIA SOKONI LAZIMA TUPATE CHANJO TU....WAPIGE HELA ZAO..BADO NAAMINI COVID 19 NI UGONJWA WA KUTENGENEZA KWA MASLAHI YA MABEBERU NA WAUZA CHANJO
PIA VILEVILE NI BIO-WEAPON
Yaani nilikuwa nakuheshimu ila kwa hili napata ukakasi,yaani unaamini maneno ya upuuzi wa Jiwe na Genge lake?aibu naona Mimi.Bio weapons pia zingie hufeli why not? Vita vya kiuchumi sio mchezo and sishangai kila kukicha kunaibuka "strains" / Aina mpya za COVID 19
Mabeberu kivp? Mbona China wana zao.. India wana zao.BADO NAAMINI COVID 19 NI UGONJWA WA KUTENGENEZA KWA MASLAHI YA MABEBERU NA WAUZA CHANJO
PIA VILEVILE NI BIO-WEAPON
Mkuu hta mimi nimemshangaa sana... Member mkongwe hivi mwenye credibility kubwa naye anaingia mkenge wa wanasiasa?Yaani nilikuwa nakuheshimu ila kwa hili napata ukakasi,yaani unaamini maneno ya upuuzi wa Jiwe na Genge lake?aibu naona Mimi.
Jiwe na wakina Kabudi walaaniweMkuu hta mimi nimemshangaa sana... Member mkongwe hivi mwenye credibility kubwa naye anaingia mkenge wa wanasiasa?
Eti Bio weapon.... Yaani wasituue kupitia ARV wanazotupa bure waje kutuua wazi wazi hivi? Kazi kweli kweli