Mkuu naona pwani ya Africa Mashariki itakuwa kama mashariki ya KATI.
Ile AFRICOM haikuanzishwa kwa bahati mbaya.
link US building a 'constellation' of drone bases - Threat Matrix
The bottom line is that the drone strikes can only do so much. They are efficient at hitting al-Qaeda leaders in the tribal areas and keeping them off balance, but with key elements based outside of the Waziristans, they cannot deal a death blow to the group. And as Pakistan distances itself from the U.S. in the wake of the bin Laden raid and other dust-ups, our ability to round up al-Qaeda operatives inside Pakistan proper diminishes.
In the past, U.S. leaders have been quick to declare al-Qaeda dead or irrelevant, only to discover that it has adapted to our new methods. That's why drones remain only one of many weapons in the arsenal we deploy against al-Qaeda. They are not, in themselves, a strategy.
Nimesikia asubuhi leo kupitia BBC kuwa kisiwa kikubwa cha madagascar kimevumbua hifadhi kubwa ya mafuta aridhini.
Mwenye taarifa zaidi anaweza-share nasi.
Mkuu ni kugundua siyo kuvumbua. Kuvumbua= to invent ni endapo kitu hakikuwepo aslan, kama kuvumbua gari.
Ama kugundua= to discover ni endapo kitu kilikuwepo lakini hakikujulikana kuwa kipo, aidha kwa kukosa nyenzo na maarifa, au kwa kutofikiwa na binadamu. Kugundua Ziwa Victoria.
Halafu unamaaanisha nini kusema 'hifadhi ya mafuta'? Jaribu kuandika Kiswahili rahisi cha kawaida na usitie madoido hayo ndiyo yanapelekea kwenye makosa ya sarufi, isimu au mawako.
Thanks 4the info mkuu, having said that, the last but two paragraph caught my eye, take a look:
Mkuu ma-YANKEE wana mbinu nyingi za kutaka ku-contain mataifa yenye mali nyingi za asilia specifically OIL, walisha smell a rat katika kanda ya pwani ya Africa Mashariki - hapa watajifanya kufukuzana na Al-Qaeda kumbe malengo yao ya kweli ni tofauta kabisa, sasa hivi wako obsessed na vitu viwili: MAFUTA na Kujaribu kuidhibiti CHINA isijitanue Barani Africa na Latin America. Kinacho nishangaza, asubuhi hii nili-tune kwenye channel ya CBS nikasikia wanasema come 2020 America itakuwa inaongoza Duniani katika nishati ya mafuta i.e Taifa lao lina mafuta mengi kuliko URUSI!! sasa kama ndio hivyo kwa nini wanaendelea kununua na kuhodhi mafuta mengi kutoka dunia za tatu?
Kitu kingine ni kuhusu tekinolojia ya kutumia DRONES, mkuu unajuwa tutarudi katika enzi za mashindano ya kuhunda silaha - kumbuka nuclear arm RACE, MATAIFA makubwa na madogo waliona salama yao itatokana na ku-posses a NUCLEAR BOMBS however crude; matokeo yake kila Taifa linagwaya kuwa la kwanza kutumia silaha hizo kwa mahasimu wake save Hiroshima na Nagasaki.
Nionavyo mimi DRONES zitafuatana mkondo huo huo wa silaha za NUCLEAR, kila Taifa litataka liwe na squadron upon squadron za DRONES na actually mashindano ya kuhunda DRONES yamikwisha anza, DRONES ni rahisi kuzihunda kuliko mabomu ya Nuclear - juzi juzi IRAN ilitumia wapiganaji wa Hezibbola huko Lebanon kurusha DRONES kwenye hanga la Israel, Waisreal walishtukia inakaribia Nuclear Complex yao ya DIMONA katika jangwa la Negev - mambo haya ni hatari sana.

Bila shaka ulitaka kumaanisha kuwa "wamegundua" lakini si "Kuvumbua" Tunaposema kuvumbua tunamaanisha ni aina fulani mpya ya kitu. Mafuta yaliyo"vumbuliwa" Madagascar ni aina ileile ya mafuta yaliyopo kote huko wanakochimba mafuta. Kama yangekuwa ni mafuta ambayo components zake ni tofauti na haya tunayoyafaha basi kweli wangekuwa wamevumbuaNimesikia asubuhi leo kupitia BBC kuwa kisiwa kikubwa cha madagascar kimevumbua hifadhi kubwa ya mafuta aridhini.