kwani ni kitu gani?Tetradenia riparia ina majina mengi ya kitanzania!
1. IYOOMBO -kwa kichagga
2. IKINGI - kwa Kibosho
3. OMUSHUNSHU -kwa kihaya
4....................
kwani ni kitu gani?
nimescroll nione hata picha nakutana na stress tu!
4. Embondanie - kwa kikwetuTetradenia riparia ina majina mengi ya kitanzania!
1. IYOOMBO -kwa kichagga
2. IKINGI - kwa Kibosho
3. OMUSHUNSHU -kwa kihaya
4....................
kumbe imegunduliwa na Madagascar!View attachment 1439451
Lakuambia changanya na zako!
hawa jamaa ndo ambao akili zao zimeshikwa na kigogo na yule mwanamke wa US alie laaniwa na hata na ibilisi,
View attachment 1439451
Lakuambia changanya na zako!
Mlavumba - kwa kiha (kigoma) dawa ya siku nyingi sana hii, wataalamu wetu wa Africa waendeleze walipoishia Madagascar tutapata kitu kizuriTetradenia riparia ina majina mengi ya kitanzania!
1. IYOOMBO -kwa kichagga
2. IKINGI - kwa Kibosho
3. OMUSHUNSHU -kwa kihaya
4....................
Kwamba wazazi wako na ndugu zako wao ni robots hawawezi kufa siyo?Wewe in maiti na ndugu zako wote wameoza kaburini wote
Kwahiyo sasa hivi ule Uwongo wenu wa Kujifukizia ( Nyungu ) mmeuweka Kando na Ngonjera zenu zimehamia Madagascar?